Wanawake wa kinyamwezi

Mkuu kujua sifa ya kabila au tabia za watu wa kabila fulan wala haitakusidia kuamua kuoa,cha msingi ni tabia ya mtu mwenyewe ambae umempenda na ndie utaishi nae coz kila kabila lina sifa nzuri na mbaya na kila mtu ana tabia yake yeye kama yeye,kama wewe umeridhishwa na tabia yake na mmekubaliana haya ya kabila achana nayo peleka ng'ombe chukua mtu wako, otherwise utambiwa tabia mbalimbali na mambo kibao ambayo yanaweza kukukatisha tamaa,ukimchunguza sana bata hutamla kakangu!
 
wana heshima balaa, tena wanajituma kwa kazi, utiifu, tatizo wengi weusi si umeona kule Igunga mkuu?

we ni pimbi kweli kwani kabila gani weupe??? nina wacwac wewe ni wale wanaojichubua ili wafanane na wazungu
 
wana heshima balaa, tena wanajituma kwa kazi, utiifu, tatizo wengi weusi si umeona kule Igunga mkuu?

Kwahiyo wewe kwako weusi tatizo?!.......mijitu mingine bwana cjui huwa haifikiri kabla ya kubofya vitufe!?
 
Wakuu naamini sijapotea kwa hawa wanyamwezi. Naomba anaye wajua vizuri aniambie tabia zao kabla sijawapelekea ng'ombe wao
Wanajua kulima lakini ni usiku kwenye gizi. Wana aleji na mwanga. Pia hawataki ufahamu chochote kuhusu umbile lao.
 
ni wazuri sana, ila wengi asili yao ni Rwanda walikuja enzi ya vita, hongera inawezekana umepata foreigner.
 
Hao ni binadamu tu mazuri na mabaya hayawezi kukosekana na hio ndio halisia ya binadamu wote! Peleka ng'ombe ndugu ilimradi umeridhika na wako!
 
Nenda kachukue jiko mzee wanyamwezi ni wazuri hata kitabia japo kuwa tabia ni ya mtu mwenyewe lkn huwezi kufananisha makabila ya pwani na mnyamwezi,mimi nimesomea kwa wanyamwezi primary nawajua kwa kiasi kikubwa wengi wao wamelelewa vizuri na ni watiifu haswa,na wavumilivu japo binadamu hawakosi kasoro,ila mwanamke wa kinyamwenzi unaishi nae katika mazingira ya aina yyte ila hawapendi kuonewa!
 
Back
Top Bottom