Wanawake wa kileo na njaa ya Mkwanja (Fedha/Hela)

Wanawake wa kileo na njaa ya Mkwanja (Fedha/Hela)

Kamaa huna mbwembwee tulia...endelea kuimba mwanaume mashine.
 
Yani mwanamke mnafanya nae kazi,tena kitengo kimoja, mshahara mpaka tarehe 6 haujatoka, anakuja kukuomba elfu 10 ya japo nauli ya wiki, kwakua yeye ameishiwa, ukimwambia "hata mimi sina bibie" anakushangaa na anakuona mwanaume suruali.
 
Baadhi ya Wanawake wamekuwa kama wasindikizaji dynamo hawana lolote la maana la maendeleo wanaloliwaza zaidi ya kuwaza kuishi kupitia wanaume hawa watu wazima ovyo ni tatizo hawana tofauti na watoto
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Nyinyi wenyewe mapenzi ya dhat Hamna mnafata chura na makinikia ukiipata unasepa mambo bilabila Toa hela upate chura na makinikia acha kulialia katafute hela.

Wanaume wenyewe wasikuiz mnaogopa panya na mende . Hao wazee wako wa Zamani walikuwa na sifa ya uwanaume Ndio maana waliheshimiwa na wanawake. Nyinyi wanaume wakisasa mnataka heshima kwa kipi Sasa.

Mnalishwa na wanawake, Mnavishwa halafu mnataka heshma 😎

Heshima Pesa .
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Duh MUNGU akubarik wanawake Dižain yako mpo wachache sana na wifi yako akiwemo

Mpo wachache sana wa hivo

ahahah asante hongera na wewe kwa wifi lakini sio kuwa wifi hawez kuomba pesa ndo unajisahauuuuuuuuuuuu! hapaa hakikisha unampa pesa au kumnunulia vijizawad aiseee maana vshawishi ni vingi mnoo !

kaa ukijua kuna wanaume kila week anampa pesa mkewe /mwanamke wake

cc....
 
Hapana huwa nampa sana nikimpa hata kidogo anashukur pia

Wewe hivo vishawishi unaviepuka vipi???
 
Hapana huwa nampa sana nikimpa hata kidogo anashukur pia

Wewe hivo vishawishi unaviepuka vipi???

basi una heri mwenzako amejisahau sana aiseee anahis nimejitosheleza !

kwa suala la vishawishi uzuri sioneshi kuomba omba kwa mtu na siwek sura ya kuhitaj !teh teh so nakaza tu hvyo hvyo !
 
basi una heri mwenzako amejisahau sana aiseee anahis nimejitosheleza !

kwa suala la vishawishi uzuri sioneshi kuomba omba kwa mtu na siwek sura ya kuhitaj !teh teh so nakaza tu hvyo hvyo !

Et unakaža hivo hivo Hahaha

Umenifurahisha............ ila Katika mahusiano ili mme lazima amsaidie mpenzi wake hata kama haombi
 
Ha haaaaa sometimes mpaka unahisi una nuksi maana kitendo cha kumtongoza Mtoto wa watu tuu matatizo yanamuanza mara kaibiwa pochi,mara anaumwa , mara Mototo anaumwa, mara msiba khaaaaa. wengine na birthday inafika papo hapo........
 
hahaahha hii ya bdy jaman anaifanya mnoo mdada mmoja hv huwa namwambia zinakutosha wewe kweli ? yaan akikutana na men tar 20 anamwambia tar 5 bdy yangu ! huwa nashindwa mwelewa jaman !yaan kila men anatarehe tofaut zake za bdy !

hahaha kuna wengine akikutana nao akimuona kapuku fulan anampa meter no ya luku !haahhhhhhhhhhh maisha yanasonga !
yule ana men wa kumwekea gari mafuta,luku,chakula cha mwanaye.nguo.pombe,etc !khaa huwa namwambia salute mama!
 
Ha haaaaa sometimes mpaka unahisi una nuksi maana kitendo cha kumtongoza Mtoto wa watu tuu matatizo yanamuanza mara kaibiwa pochi,mara anaumwa , mara Mototo anaumwa, mara msiba khaaaaa. wengine na birthday inafika papo hapo........
Hii nimeipenda aisee...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushasema "zamani"!!!
Sasa sio zamani.

Na hakuna asiependa pesa ndio maana hata wewe umesema unazipenda.
Kwahiyo badala ya kulia lia humu hebu muda huo katafute pesa ili tukiomba muwe nazo za kutupatia.
 
Hii nimeipenda aisee...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

ahaha yaan alichosema ni ukweli mtupu wapo wengi mnoo desgn hii haha mie ningekuwa men siku aloniambia namfanyia surprize ya kuja na keki !kama hutamkutakajilaza kwao tu hana lolote lol
 
Back
Top Bottom