MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Najiuliza tu tokea waanze kufungua hizi nyuzi mbona hamna mabadiliko kila siku ni kulia lia tuuu, waamue tu sasa watoe hela maana hamna namna nyingine. Tumegoma, pesa lazima watupatie.
ahhahahha chezea magu wewe !yaan km vilio vimezid jaman khaa