Wanawake wa kileo na njaa ya Mkwanja (Fedha/Hela)

Wanawake wa kileo na njaa ya Mkwanja (Fedha/Hela)

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Wanawake wa kileo ni zaidi ya mashetani
Hawana utu kabisa ,heshima hawana ,yani wamekosa kabisa ubinadamu
Zamani nlisimuliwa na mababu zangu kulikua na mapenzi ya kweli sana
Zamani mwanaume unatoka kijiji kimoja na kwenda kingine kumfuata mwanamke ukitumia usafiri wa baiskeli na bado mwanamke alikuheshimu hadi ukoo wake wote walikuheshimu
Masuala ya kuweka fedha mbele hayakuwepo ila ni mapenzi ya dhati
Miaka ya zamani mwanamke hakuwa matonya kuomba omba hela kwa mwanaume wake kwa maana aliona kumfanyia hivyo mpenzi wake mi sawa na kumuuzia papuchi
So mwanamke aliviheshimu viungo vyake
Lakini wanawake wa kileo ni laana tupu,yani wanaweka fedha mbele kuliko mapenzi ya kweli wamejawa njaa na umaskini wa kutosha wanawaza kuomba omba hela na ndo wanaona ufahari sana kuwa ombaomba
Mwanamke unakutana nae siku ya kwanza anaanza kukulilia Shida, akiumwa anataka wee ndo umgharamie matibabu kana kwamba wee ndo babake
Acheni njaa, demu kuja ghetto anaforce umtumie nauli yani unashindwa kujiongeza kwamba kule naweza nkapata hela zaidi ya hiyo unayoitumia kwa nauli ,lakini kwa njaa zenu unaona hasara kulipa 500 ya Hiace au buku 3 ya tax ukaenda kukutana na mmeo mtarajiwa
Na sie wanaume bhana wenyewe tuonaona ufahari kuhonga honga mijanamke njaa na mwisho kukosa maendeleo

Kama unapenda hela nami nazipenda pia ,tafuta zako kila mtu abaki na zake, ukibana papuchi poa tu Nyeto a.k.a Punyeto ipo najipimia size yoyote iwe papuchi ya Beyonce, wema,Hamisa,Zari,Michelle Obama
 
Yaani siku hizi hovyo kabsaa, ndo maana wengi wanatapeliwa kimapenzi coz wanajishusha wenyewe, hayana hata aibu.....kila kitu umfanyie na kumgharamia, wa hivyo ni kuweka bajeti isiyozidi 30,000/- ( gharama zote) kama ni mzuri unapiga papuchi na kumtema.
 
hivi ni lini Uzi za pesa zitakoma humu jf??

kwa nn kila MTU asibaki na chake kuondoa lawama??
 
Nyinyi wenyewe mapenzi ya dhat Hamna mnafata chura na makinikia ukiipata unasepa mambo bilabila Toa hela upate chura na makinikia acha kulialia katafute hela.

Wanaume wenyewe wasikuiz mnaogopa panya na mende . Hao wazee wako wa Zamani walikuwa na sifa ya uwanaume Ndio maana waliheshimiwa na wanawake. Nyinyi wanaume wakisasa mnataka heshima kwa kipi Sasa.

Mnalishwa na wanawake, Mnavishwa halafu mnataka heshma 😎

Heshima Pesa .
 
Wanawake wanapenda pesa kwa sabab ya thamani, wanatafuta thamani yao,
 
Nyinyi wenyewe mapenzi ya dhat Hamna mnafata chura na makinikia ukiipata unasepa mambo bilabila Toa hela upate chura na makinikia acha kulialia katafute hela.

Wanaume wenyewe wasikuiz mnaogopa panya na mende . Hao wazee wako wa Zamani walikuwa na sifa ya uwanaume Ndio maana waliheshimiwa na wanawake. Nyinyi wanaume wakisasa mnataka heshima kwa kipi Sasa.

Mnalishwa na wanawake, Mnavishwa halafu mnataka heshma 😎

Heshima Pesa .
Kwani unauza nini dada.
 
Mpaka leo bado hamjawajua watu.watu ni sisi.tunazijua roho zetu
 
Back
Top Bottom