ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Ngoja kwanza niweke akiba ya maneno,huwezi jua linalokuja mbele ....wanasema ya mungu mengi.
Mwenzio anataka cash,ukipeleka cake anaweza kukupiga nayo usoniahaha yaan alichosema ni ukweli mtupu wapo wengi mnoo desgn hii haha mie ningekuwa men siku aloniambia namfanyia surprize ya kuja na keki !kama hutamkutakajilaza kwao tu hana lolote lol
Sasa mwanaume unaishiwaje na hela jambazi jamani!!!Yani mwanamke mnafanya nae kazi,tena kitengo kimoja, mshahara mpaka tarehe 6 haujatoka, anakuja kukuomba elfu 10 ya japo nauli ya wiki, kwakua yeye ameishiwa, ukimwambia "hata mimi sina bibie" anakushangaa na anakuona mwanaume suruali.
Kwahiyo wewe pia unatabia kama alizosema mleta mada.Ushasema "zamani"!!!
Sasa sio zamani.
Na hakuna asiependa pesa ndio maana hata wewe umesema unazipenda.
Kwahiyo badala ya kulia lia humu hebu muda huo katafute pesa ili tukiomba muwe nazo za kutupatia.
Sasa kwanini tusiwaombe pesa kwamfano!! Kama hamtaki kuombwa basi toeni wenyewe.Kwahiyo wewe pia unatabia kama alizosema mleta mada.
Pale wanapotaka wanawake kama bibi zetu wakati wao sio babu zetu.Wanaume walipokuwa wanaume. Enzi zimeenda wapi?
Mimi nimeuliza tu,unatabia kama alizosema mleta mada?Sasa kwanini tusiwaombe pesa kwamfano!! Kama hamtaki kuombwa basi toeni wenyewe.
Ndio au hapana.Mimi nimeuliza tu,unatabia kama alizosema mleta mada?
Jibu ndiyo au hapana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa.Ndio au hapana.
Toeni hela jamani, au hamjui vyenu vyetu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa.
Najiuliza tu tokea waanze kufungua hizi nyuzi mbona hamna mabadiliko kila siku ni kulia lia tuuu, waamue tu sasa watoe hela maana hamna namna nyingine. Tumegoma, pesa lazima watupatie.hahaha
thats itWanawake wanapenda pesa kwa sabab ya thamani, wanatafuta thamani yao,
[emoji23] [emoji23] kutoa pesa sio tatizo kabisa,shida ni kwamba baadhi ya wanawake hawako serious kabisa yani unajua kabisa huyu yupo kimkakatiToeni hela jamani, au hamjui vyenu vyetu?
Kwani kuna uhusiano gani kati ya mapenzi na kuombana pesa?hakuna hasiyependa pesaaa