stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,223
- 5,150
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kiongozi samahani sana
Pmj Mkuu
Nikuelekezana tu Mkuu[emoji1321]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kiongozi samahani sana
kabisa yani na watupe break kidogo mana toka jana thread zawanawake zimekua too much au hii ni wiki ya wanawake mmu?kabisa aisee ! wapambane tu
Duh na kugawa je...na wewe unakutanaga na size zako !pambana baba huna namna ! mie siombi pesa ukinipa nakushukuru !
.........ukiombwa hela ya Panadol lazma uzi uletwe humu,[emoji1321]
Vipi kuhusu rejesho la kibati/kikoba?
Sorry anyway
Duh na kugawa je...
Kuna baadhi wamebadili mbinu siku hizi(siyo wote....naaminiwanawake wenye kuheshimu utu wao wapo,na shida zipo kwa kila mmoja). Hao wachache huomba hela ya kibati au viccoba kwa kuamini ndiyo njia rahisi ya kumpatia kiasi anachohitaji.Sijakupata Mkuu
Nifafanulie kidogo
Kuna baadhi wamebadili mbinu siku hizi(siyo wote....naaminiwanawake wenye kuheshimu utu wao wapo,na shida zipo kwa kila mmoja). Hao wachache huomba hela ya kibati au viccoba kwa kuamini ndiyo njia rahisi ya kumpatia kiasi anachohitaji.
Bibie mbona umeto ile avatar y kwanza au kuna mtu kashafika bei,nahisi ni yule aliye andika Uzi uleeena wewe unakutanaga na size zako !pambana baba huna namna ! mie siombi pesa ukinipa nakushukuru !
Tatizo lako ume-generalize sana, yaani umemuhusisha mpaka mke wangu katika tamko lakoWanawake wa kileo ni zaidi ya mashetani
Hawana utu kabisa ,heshima hawana ,yani wamekosa kabisa ubinadamu
Zamani nlisimuliwa na mababu zangu kulikua na mapenzi ya kweli sana
Zamani mwanaume unatoka kijiji kimoja na kwenda kingine kumfuata mwanamke ukitumia usafiri wa baiskeli na bado mwanamke alikuheshimu hadi ukoo wake wote walikuheshimu
Masuala ya kuweka fedha mbele hayakuwepo ila ni mapenzi ya dhati
Miaka ya zamani mwanamke hakuwa matonya kuomba omba hela kwa mwanaume wake kwa maana aliona kumfanyia hivyo mpenzi wake mi sawa na kumuuzia papuchi
So mwanamke aliviheshimu viungo vyake
Lakini wanawake wa kileo ni laana tupu,yani wanaweka fedha mbele kuliko mapenzi ya kweli wamejawa njaa na umaskini wa kutosha wanawaza kuomba omba hela na ndo wanaona ufahari sana kuwa ombaomba
Mwanamke unakutana nae siku ya kwanza anaanza kukulilia Shida, akiumwa anataka wee ndo umgharamie matibabu kana kwamba wee ndo babake
Acheni njaa, demu kuja ghetto anaforce umtumie nauli yani unashindwa kujiongeza kwamba kule naweza nkapata hela zaidi ya hiyo unayoitumia kwa nauli ,lakini kwa njaa zenu unaona hasara kulipa 500 ya Hiace au buku 3 ya tax ukaenda kukutana na mmeo mtarajiwa
Na sie wanaume bhana wenyewe tuonaona ufahari kuhonga honga mijanamke njaa na mwisho kukosa maendeleo
Kama unapenda hela nami nazipenda pia ,tafuta zako kila mtu abaki na zake, ukibana papuchi poa tu Nyeto a.k.a Punyeto ipo najipimia size yoyote iwe papuchi ya Beyonce, wema,Hamisa,Zari,Michelle Obama
Bibie mbona umeto ile avatar y kwanza au kuna mtu kashafika bei,nahisi ni yule aliye andika Uzi uleee
na wewe unakutanaga na size zako !pambana baba huna namna ! mie siombi pesa ukinipa nakushukuru !