Wanawake wa kikurya ni nomaa

Michawi, black black, white white..!!
Pole kiongozi km imekugusa 😹
 
Huyo hajui na hajatembea wasukuma wanavyopenda waganga kule kila Nyumba ina mganga wake na utakuta kiongozi wa Dini kabla ya kwenda kwenye ibada anaenda kwanza kwa Mganga na Wanawake wote wa Kisukuma wamechanjwa chale mgongoni na kifuani.
Anatetea kabila lake 😹
Wasukuma ni makontawa kwenye uchawi, hao wana chale mpk kwenye vibumbu..!! 🀣
 
Ni wachawi nimefanya kazi nao serengeti mgumu ni wauaji ni wachonganyishi mno
Mugumu gani hyo kuna wachawi? Au serengeti gani hyo? Eneo lipi?
Sema wewe ulikuwa unafuatiliwa na mizimu ya kwenu au uchawi ulikuwa unatoka huko kwenu
Wakurya hawana hzo pigo..
Ukimzingua tu anakuja moja kwa moja kwako au kama umemkasirisha sana atakutumia mtu uache huo ujinga..pigo za kichawi nimezisikia humu mitandaoni..
 
Malezi yao utotoni sio mazuri mama zao hawajui malezi thus upelekea watoto wao ngumu sana kuishi na jamii ingine.
Upelekea mabinti zao kuwa na tabia za kuja juu bila kurudi nyuma
Kweli kabisa sipingi
 
Wakurya sio Wachawi.
Pia ni wakarimu.
Mkielewana na mwanamke wa kikurya anayejitambua hapo Hadi mauti iwatenganishe
Huwa wanatabia ya KUMPANDA MWANAUME KICHWANI.

DHARAU, VIBURII, UGOMVII USIO NA SABABU, WIVUU KUPITILIZA, UBABEE HATAREEE
 
Mwanamke wa kikurya anatakiwa aoelewe na mwanaume wa kizanzibari.

Wanapenyezewa maneno flani hv wanalainika kama mlenda
 
Sawa ila mizimu ni ya kwenu sio yetu walinitupia ugonjwa wa mguu nilioukanyaga geiti la hoteli wakati ninapita walitaka kuniua wakaniwekea sumu kwenye chakula.
WAkaona sijakila wskaniwekea majambazi ile siku ni mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…