Wanawake wa kikurya ni nomaa

Huyo hajui na hajatembea wasukuma wanavyopenda waganga kule kila Nyumba ina mganga wake na utakuta kiongozi wa Dini kabla ya kwenda kwenye ibada anaenda kwanza kwa Mganga na Wanawake wote wa Kisukuma wamechanjwa chale mgongoni na kifuani.
Aisee ile jamii na wanyamwezi wana tatoo za viwembe hadi kero
 
Suala la kula vyakula vingi nafikiri pia na upatikanaji wa chakula unachangia, jamii ambazo njaa sio shida zao hawajui habari ya kununua mahindi wala mchele vyakula viko stoo mwaka hadi mwaka hawajui kujibana kabisa sawa na waliozoea kupima kilo ya unga wale watu 8 ndani, jamii zenye upatikanaji wa vyakula unakuta wanasaga mahidi debe 2,3, mchele kwao ni kukoboa tu msimu hadi msimu hawajui hata bei ya kilo ya mchele possibly matumbo yao yamezoea toka utotoni kula chakula cha kutosha wazaramo wakiona hivyo wanasema chakula kingi maana utakuta ana ugali wa kutosha, nyama, maziwa, kuna samaki wa kukaanga au dagaa, vyote vinaliwa pamoja nyie mnasema chakula kingi😄😄😄😄 Bantu Lady
 
Tabia hizi ukiziona kwa mwanamke juwa mwanaume una shida. Mawimbi huwa madogo pale upepo sio mkali... Mwanamke ukisha mpenda mkapendana na ukaweza kumgusa kwa upako my friend utafurahia maisha na kuongeza mke kama dini yetu.
 
Nimeshangaa sana sifa wanatoa za waswahili sijui wa wapi afu wanawataja wakurya aisee
 
Sio kwamba kie chakula wanalima sana... maana wanga ukila bila kufanya kazi lazima kitambi..

Kiukweli nawapongeza ni wachapa kazi, wamejengeka kimwili na wana afya tokana na aina ya ulaji, haya mengine ni matani mitandaoni tu..
 
Siyo ulezi ni mtama
 
KERATO MOMBAA tacho omahe keno omusaghane ono akoghamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…