Wanawake wa Kikenya

Wanawake wa Kikenya

Me mwenyewe wakenya nilowahi kukutana nao, wanadharau hasa wanaidharau Nchi yetu na kila kitu kilichomo. Hadi najiuliza hv hata watanzania wako hivo wakiwa nchi za watu! Kuna cku wakenya tulikuwa nao kwenye daladala laakumbusho kkoo, walikuwa km watano hv wanaume wawili na wanawake watatu. Imagine wanaongea njia nzima na kuiponda tanzania na vitu wanavyo viona, lkn watanzania km desturi yao wote walikuwa kmya tu. Mimi nilitamani niwashushe sema gari haikuwa yangu. Lkn wakenye wengi nmekutana nao full kujifanya wazungi na wajuaji hata ukifuatilia forums zao angalia km watadiscuss TZ wanaponda. Kwa kweli me cwakubali, na mwalimu nyelele alitulea vzr watanzania jamani, ktk EA tutakuwa tunaongoza kwa uungwana. Ila hayo mengine ya ndani cjajua lkn naweza kukubaliana nayo maana nimekutana na wakenya wengi wao hamna kitu.
 
kuhusu usafiri kweli hata mm Mara ya kwanza kufika dar nilishtuka coz hakuna kusimama au kujaza dldl kama nnavyojaza Kenya bt kuhukumu wanawake zaidi ya milioni 10 kwa ajili ya wachache uliokuwa nao No its not right think twice!
 
juan moses umesema kweli 100% nili-date na huyo mkenya, kwanza alinizidi umri kama miaka 2 anyway sikuona ishu sana, nikaamua poa tu, pili, ana motto mmoja (mimi name ninae huko TZ), ishu ikaja kunimaliza nguvu yule demu nafikri ana stress yaani kwa siku mkiongea lazima atafute kosa yaani unaishia kuomba Msamaha ( ili yaishe) kila siku ila yeye aikosea wala haombi msamaha asilani. Nikaona tusije kuuana kwa presha za kis.enge
 
kuhusu usafiri kweli hata mm Mara ya kwanza kufika dar nilishtuka coz hakuna kusimama au kujaza dldl kama nnavyojaza Kenya bt kuhukumu wanawake zaidi ya milioni 10 kwa ajili ya wachache uliokuwa nao No its not right think twice!

Sikia, me nimetoa huo mfano tu na ningetoa mingi pia sijasema wote ila walio wengi. Pia cjasema km waliponda usafiri maana wote walikuwa wamekaa, lkn kuponda nchi ya watu na ww umo humo nchini, ujasiri huo unautoa wapi km sio dharau? Sasa walifuata nn hapa? Kistaarabu hata ukienda kijijini unasifia ndo maana wazungu wakija wanasifia africa, yani kila kitu cha bongo ni kibovu co km kenya, halafu ni watu wazma co watoto wadogo.
Hata kwa upande wa politics ndo kabisa, lkn viongozi wetu ni wastaarabu, yaan Kenya wangekua km south Africa, UG na TZ tungewalamba miguu, na cdhan hata km wangekuwa nanwazo la kuunganisha hizi nchi, sema nao ni alosto tu km cc, kutwa kujifagilia hata km hawajaulizwa. Mi naamini kabisa michango ya watu kuwa ni watu wanao penda kujiona wapo high, hata kwa upande wa wanaume, wanawake wanapenda mwanaume anaejua kujishusha sometimes.
 
Wanawake wa kikenya (hasa waliokulia au kuishi Nairobi) kama mwanaume huna hela andika maumivu.
 
wanawake wa kikenya hata bure siwataki kwanza mapenzi hamna hasa ukifulia, sura za kiume/kazi zaidi
 
Wabongo niwashauri hebu tuhangaike na hawa wakwetu huko Kenya mwanaume utaambulia MITAMBA na makofi a.k.a MAKONDE. Wale si wanawake!!!
 
Wanawake wa kikenya pamoja na kunyimwa uzuri wa sura na umbo pia wana roho mbaya sana. Ni hatari mno kuoa wanawake wa aina hii
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.

Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.

Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.

Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.

Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.

Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.

Natanguliza shukran zangu!!

Traits of a good woman is something individual and personal. I agree to some degree our social behaviour are defined by our surrounding but the world is more open than any now than never before.

Be consistent with your primary investigation on who you want for a long term relationship and of course you must remember that under this sun, you will never get a perfect person. Even God is not perfect from humans point of view in some cases.

Dont be tribalistic in your choice though it should inform your future.

As much as I know, you need an individual you will feel contented with inspite of her challenges.
 
Wakenya wanawawake hasa wa-Nairobi ni shiiiiidaa yaani ni taabu hawajui mapenzi zaidi ya kutaka pesa mbele kwa kweli kama unataka kufa mapema kaoe mkenya
 
Back
Top Bottom