and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,190
- 39,619
Kama anatokea Mombasa utapata mapenzi ila wavivu Kama kwenu Kisiju huko
Uaminifu zero halafu tena anakugandia nini ?Nili-date na demu kutoka Kisii huko Kenya, ni shida tupu kwa kweli....wanapenda pesa, uaminifu zero, wabinafsi sana na shida kubwa anakuganda mno pamoja na majanga yake yote hayo. Nahisi wanaume wa Kenya ndo wanawaharibu wanawake wao mpaka wanakuwa na matabia ya ajabu hivyo
Yaani sio waaminifu kabisa na hataki umuache, ukimpiga chini anaganda kinoma, atakufuata hata kazini kama anapajua. Mie huyo mkisii tulikutana kwenye mazingira ya kazi, alikuwa kaajiriwa na NGO moja hapa TZ, mimi nilikuwa nafanya kazi sehemu ambayo tulikuwa tunakutana na maafisa wa NGO yao mara kwa mara, kupitia hilo tukaanza mahusiano. Kwa kweli nakiri nilipata shida sana na yule mwanamke, na hawana aibu kabisa!Uaminifu zero halafu tena anakugandia nini ?
Very confusing statementUaminifu zero halafu tena anakugandia nini ?
Tatizo hawanaga churaJamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.
Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.
Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.
Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.
Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.
Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.
Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Huko ndy uozo kabisa mkuu,,,Kama anatokea Mombasa utapata mapenzi ila wavivu Kama kwenu Kisiju huko
Vumilia la muhimu ana wezere inatosha mengine kausha tuKweli, alikuwa mweusi tii, mrefu na tako kubwa na mapaja makubwa kweli kweli...mzuri sana usoni, meno meupee!! Ni yeye ndo aliyeanza kunipenda na dalili zote nikaziona, nikaona niteleze na ganda la ndizi...mwanzo hakuwa na shida, tulipozoeana baada ya kama mwezi hivi ndo nikaanza kuona rangi....
Attitude zao bro ni noma! Wakorofi mbaya.....hawana aibu hata chembe, unaweza kuwa umetulia na washkaji zako anakuja anakushika dyudyu fresh tu!Vumilia la muhimu ana wezere inatosha mengine kausha tu
Ok umepata mjaluo sio,mimi niliwahi kukaa nyanza zaidi ya miaka 6 na nilizaa huko pia.Wajaluo kwa mila zao wanaolewa kwenye ndoa ya wake wengi na wala hawagombani,wanaishi kwa raha na kusaidiana.Sex inachukua 70% ya maisha yao na mwanamke anatawaliwa na mwanamme kwa kila kitu.Sio wagomvi na ni watafutaji sana.Kwa sasa wengi wamesoma na uzuri wao mwingine hawajipodoi,wapo hivyohivyo na uzuri wao wa kuzaliwa.Hawapendi ugomvi na hawana tabia ya kutembelewa na wazazi wao.Kwa kifupi umepata mkeJamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.
Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.
Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.
Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!
Huu uzi unachekesha balaa....yaan nimecheka mpaka nimejikojolea😂😂🤣🤣🤣🤣Mwanamke wa kikenya mkikutana atakuchimba kujua unafanya kazi gani, kipato chako na nini unamiliki Nyumba, viwanja, magari akiona huna au hakuelewi anatoka NDUKI. Hawana mchezo hao majirani. Pesa mbele