Wanawake wa Kikenya

Wanawake wa Kikenya

Hebu wadada wa Kikenya mjitokeze hapa tusikie. Kama hawapo, wakaka wa kikenya mlonge basii!
 
Acha dharau. Hata hao wasichana wa kikenya kuna Kenya-ubongolala wengi tu

ndugu yangu, sio wengi tu mabongo lala, ni wote bongolala. unadhani huko kuongea tukizungu twao twa geresha ndo kusema wapo juu? sawa pamoja na kuongea kizungu, hicho ni cha mdomo tu, hata kama dame wa kibongo hana hicho kizungu yeye akili zipo nyingi anaweza kuandika kizungu hutoamini. LEO NA KESHO WASICHANA WA KIBONGO WAPON JUU MNO KWA KILA KITU-NAWAFAGILIA
 
mkuu hapo ndio penyewe kama umeridhika napo we kanyaga twende kila mtu ana tabia zake hapa duniani

Mdadisi anatokea pande zipi za Kenya. Ila they are good actors!!!! Hawapendi upande wa mume, ndugu, mother in law visa vitamkomaje?
NB; Sio wote, niliokutana nao ndo wako hvyo
 
nawajua sana na wagoloko na wanafiki sana wapotezeee tu hao
 
Mwenzio kasema jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza: by induction huyo binti ni Mjaluo!!!

mabinti wa kijaluo ni wavumilivu sana,pia they are good upstairs,broblem with then ni kwamba wana misimamo sana,hawapendi kuonewa in the name of mfumodume..nawapongeza sana hawa dadazangu,
 
Mkuu kama ni mjaluo chukua faster,ila wanamsimamo sana,hawapendi longolongo,kama ni mkisii hao ni wachoyo sana,hawapendi wageni,kama ni mluya,hao sio wasafi sana,pazia kubadilishwa yawezachukua hata mwezi..kuna wakurya na wasuba wa kenya wao wanafanana tabia na hawa wa kwetu...ila kwa wajaluo utakuwa umepata mke mwema,though wanapenda sana prestige,kama wahaya vile,lakin they are wife material.heko kwa dadazangu wa kijaluo.though mimi nimeshikwa unyamwezini.
 
Mkuu kama ni mjaluo chukua faster,ila wanamsimamo sana,hawapendi longolongo,kama ni mkisii hao ni wachoyo sana,hawapendi wageni,kama ni mluya,hao sio wasafi sana,pazia kubadilishwa yawezachukua hata mwezi..kuna wakurya na wasuba wa kenya wao wanafanana tabia na hawa wa kwetu...ila kwa wajaluo utakuwa umepata mke mwema,though wanapenda sana prestige,kama wahaya vile,lakin they are wife material.heko kwa dadazangu wa kijaluo.though mimi nimeshikwa unyamwezini.

I'm speechless
 
Mhh...kaka kwa uzoef wang hao wat kwa future ni bangua kichwa labda kama ni "hit and run " lakn anyways nenda naye adoado ukimsoma mana tusihukumu kwa "stereo type"
 
Mimi naishi Nairobi mwaka wa 6 sasa so nawajua vizuri wanawake wa Kikenya (hususani hapa Nairobi). Wengiwao wakshajua una pesa tena si Mkenya watakuganda balaa. Mi nimekutana nao sana mfano kuna ambae ana kibanda cha M-PESA sasa baada ya kuona nafanya transactions nyingi na kucheki ID/Passport ni MTANZANIA akaanza kuwa karibu mara ooh nitafutie mume mtanzania mara nataka kuzaa na wewe, anaomba OUTING !!!Basi ikawa vurugu tu. Baadae akaanza MIZINGA ya PESA. Hapo ndo nikampotezea jumla,
USHAURI: Kama una roho nyepesi usianze uhusiano na MWANAMKE WA KIKENYA maana kwao PESA MBELE na hawana utu hata chembe
 
ndugu madem wa kenya wanapenda pesa usipime halafu wanajua ku act balaa kukuonyesha anakupenda na kwa bed huwa wanajishughulisha na kumsifia mwanamme sana tena usiombe ukawa mtanzania utaisoma plate number,bt kama wallet yako iko poa fandia fursa
 
Yaani kuliko uchukue mwanamke wa Kenya bora uoe Mzaramo/------/Mndengereko hata Mmakonde lakini si hawa wakenya kwanza wana roho mbaya ingawa huwa wanajidai ni watu poa wakijua wewe ni mgeni toka nchi nyingine 2. wanapenda pesa mno kuna wakati mke bila pesa hatoi papuchi (Mgomo Papuchi)
 
Back
Top Bottom