Wanawake wa Kikenya

Ndugu nakwambia ukweli kabisa umeingia choo cha stendi maana hao wanawake hawafai kabisa
Ni much know sana
Hawana mapenzi (Angalia Martha Karua) hapo utapata majibu
Hawana moyo wa huruma wewe ukitaka uhakika nenda kenya
Halafu zungumza na wanaume watakueleza yote
Hawawataki wanawake wao wako kipesa zaidi HAWAFAI nawajua
Angalau ungempata Mluya kidogo afadhali hao wa nyanza umeliwa
Kuachan nje nje tu
Nitafute mie niko huku wananitaka wakati nimeolewa sababu eti mie mpole

Desidii, Waluya wengi wana tabia nzuri, kakangu kaoa Mluya hajawai kujutia.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa Kikenya aisee inabidi uwe na moyo wa chuma kuishi nao. Hawana mapenzi kabisa zaid ya kuangalia PESA, Kupika hawajui, hawapendi ndugu wa kiumeni, zaid si waaminifu katika ndoa, ZAIDI HAWAJUI MALEZI KWA WATOTO
 
Na mwanamke wa kikenya akikuzidi nguvu utapigwa haswa.Kuna jirani yetu hapa huwa anapigwa usiku na mchana mpaka namuonea huruma. Hawa wanawake wana maumbo ya kike lakini misuli ni ya kiume atiii.
 
Mwanamke wa kikenya mkikutana atakuchimba kujua unafanya kazi gani, kipato chako na nini unamiliki Nyumba, viwanja, magari akiona huna au hakuelewi anatoka NDUKI. Hawana mchezo hao majirani. Pesa mbele
 
Wengi wao ni ugonjwa wa moyo maana mimi kuna kipindi nilishaishi huko sasa demu mmoja akanishobokea lakini hakujua ishu zangu, nikamzingua kuwa nauza mitumba sokoni akaanza kurudi/akakosa interest, sasa baada ya kuja kugundua nina maduka Arusha akaanzaje kujiletaaa......
 
wanawake wengi wa kikenya mapenzi ni ZERO, wao ni pesa, starehe na ubabe, hata kitandani ni mizigo ya kufa mtu hamna kitu zaidi ya STRESSS....
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza.

Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.

Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career.

Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.

Kwa kifupi so far tume-click! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.

Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya.

Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao.

Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.

Natanguliza shukran zangu!!

Wanawake wa Kenya ni wababe wanapiga wanaume kama watoto we jiandae kupokea vipigo mfululizo aisee
 
Na mwanamke wa kikenya akikuzidi nguvu utapigwa haswa.Kuna jirani yetu hapa huwa anapigwa usiku na mchana mpaka namuonea huruma. Hawa wanawake wana maumbo ya kike lakini misuli ni ya kiume atiii.

Hehehe umenikumbusha mbaaali mkuuu,, nilikuwaaaga na demu mmoja wa arusha,, do alikuwa shidah,, alikuwa na shape kali kinyama,, misuli sasa heheh,, golden teeth$$,, na kuongea doh,, anakutext ‘‘ ni ajee vipi upo magheton,, mishale fulani ntatimba‘‘‘ doh nilimuacha bila kupenda heheheh
 
wanawake wa kikenya ni shida sana kwa kweli yaani ni kero tupu. Mapenzi hamna mule ni PESA tu inatafutwa! Kuna mmoja nilimkanyaga hapo Nairobi kondom ikapasukia katikati +254 710933407
 
Back
Top Bottom