Wanawake wa Kikenya

Ndugu yangu
Siwezi sema ni wote ila shughuli unayo! Mkuu mimi nikiwa chuo mdada aliniacha tukiwa na watoto wawili kisa sina mshiko! Alidai hajazoea kuishi kwa shida. Nilikubali kuamua kati ya kaganda kangu ama mke. Niliamua elimu na sasa tumambo kwa kiasi juu ya msitari. Ugali hauipigi chenga. Sasa anajitahidi kuzungukazunguka mtaani kwangu. man kaa chonjo nao ila uamuzi ni nwako! Ila kiukweli wanashobokea noti sana!
 
Ndugu yangu
Siwezi sema ni wote ila shughuli unayo! Mkuu mimi nikiwa chuo mdada aliniacha tukiwa na watoto wawili kisa sina mshiko! Alidai hajazoea kuishi kwa shida. Nilikubali kuamua kati ya kagnda kangu ama mke. Niliamua elimu na sasa tumambo kwa kiasi juu ya msitari. Ugali hauipigi chenga. Sasa anajitahidi kuzungukazunguka mtaani kwangu. man kaa chonjo nao ila uamuzi ni nwako! Ila kiukweli wanashobokea noti sana!

Achana nae huyo, la sivyo piga halafu run.
 
Hawajui kupika kwa hiyo jiandae kulishwa SUKUMA WIKI kutwa mara tatu kama dozi hadi ukome!
99% wa wanawake wooote wa kikenya wametahiriwa hivyo jiandae kwa mapenzi butu!
Ni wababaikaji sana na ni maharage ya Mbeya.... hasa akimwona hata rafiki yako ni handsome na anazo fweza unaweza kumegewa kiulainiiiiiiiiii
Wengi wao huku ughaibuni (US) wanawahusudu sana wanaume wa kibongo.
Wengi wao pia ni washamba lakini wanajiona much-know.
Hawajui kupiga pamba kama mademu wa kibongo.
Kama mchangiaji huko juu alivotonya, wanapenda sana ndoa na watu wa makabila yao kwa hiyo kukutosa akipata wa kabila yake kwao sio issue.
Kazi kwako

Kama wachagga tu!
Mjomba wangu anajuta hadi leo hao wakenya....anajutaaaaa!
Alipohamia kenya kikazi akajichanganya kuishi kidhungu... siunajua nao lifestyle yao kama wadhungu.
Wakapata watoto na mali nyingi. Mjomba alipopata matatizo kwenye kazi alikua amejenga jumba kubwa la 3floor na jumba jingine alijuta kuishi nae!
Hata hivyo mjomba ilibidi amwachie jumba moja. Ila watoto hakuwachukua na hawamjui mjomba....hiyo ndio balaa lao. Labda ukawaoe waswahili kule Mombasa....ila ni waswahili too much know.
Umempenda kwa pronounciation yake?
 
Ndugu nakwambia ukweli kabisa umeingia choo cha stendi maana hao wanawake hawafai kabisa
Ni much know sana
Hawana mapenzi (Angalia Martha Karua) hapo utapata majibu
Hawana moyo wa huruma wewe ukitaka uhakika nenda kenya
Halafu zungumza na wanaume watakueleza yote
Hawawataki wanawake wao wako kipesa zaidi HAWAFAI nawajua
Angalau ungempata Mluya kidogo afadhali hao wa nyanza umeliwa
Kuachan nje nje tu
Nitafute mie niko huku wananitaka wakati nimeolewa sababu eti mie mpole
 
Hapo mkuu umeniacha hoi!
Kwa hiyo kama usawa ukiisha basi nimekwisha?

kama nilivyosema ni wachapakazi ila ni very pragmatic WENGI wao mtakuwa marafiki as long as unatoa kitu. Kwa ufupi ni kuwa wengi wao wanaamini kuwa A MAN SHOULD PROVIDE!
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!

Kaka hongera kwa kuwa na huyo binti. Ila mm ninaishi nao, ukabila sipendi kabisa na nasisitiza sipendi. Lakini kujadili tabia ya watu wa kabila furani siyo vibaya, ili mradi uweze kujua unaishi na mtu wa namna gani ili uwezi kujua jinsi ya kuishi naye na kumchukulia. Hakuna mtu ambaye yuko "perfect" lakini kama wadau wengine walivyochangia, shida yao kubwa ni pesa, kama unazo haina shida. Ila pia wao wanapenda sana ukabila ni tofauti na watanzania ambao tunachangamana tuu na mnaishi bila shida. Kama ataweza kushida tatizo la ukabila ambalo wako nalo na akawa anakupenda ww jinsi ulivyo, bila shaka "you can make a good couple"
 
Ndugu nakwambia ukweli kabisa umeingia choo cha stendi maana hao wanawake hawafai kabisa
Ni much know sana
Hawana mapenzi (Angalia Martha Karua) hapo utapata majibu
Hawana moyo wa huruma wewe ukitaka uhakika nenda kenya
Halafu zungumza na wanaume watakueleza yote
Hawawataki wanawake wao wako kipesa zaidi HAWAFAI nawajua
Angalau ungempata Mluya kidogo afadhali hao wa nyanza umeliwa
Kuachan nje nje tu
Nitafute mie niko huku wananitaka wakati nimeolewa sababu eti mie mpole

Mkuu hapo kwenye nyekundu kidogo umepitiliza unless sijakuelewa vema. Hebu nifafanulie
 
Hawafai nitafute nikueleze mie niko huku Kisumu nakuwa mara nyingi nairobi kikazi HAWAFAI HAPO KWENYE RED. Kama hujaelewa ni kwamba choo cha stand ni cha kushare abiria wanakuja nakuondoka so ndo walivyo infidelity kwao kama kawa
 
MMmmmmmnnnhhhhh OMG!! Lahaula, toba!!! Hilo sikulijua
 
wanaukabila,wabinafsi,wachoyo,walafi na wana tamaa ya maisha mazuri.wana wivu mkali ukiwaacha hawaoni tabu kukupoteza kwa njia yoyote.kwahiyo kama shilingi unayo waweza kaa naye kama hajaamua akumalize abebe mali,pia hata ukiwa naye lazima aende akachombeze na wa kabila yake.kingine jiandae kulea ukoo mzima,na atakachoamua baba au mama ni wewe utakiface nyumbani demu wako akirudi,kwa ujumla jiandae kwa wendawazimu ama tusikuone jukwaani tena hapo mbeleni.kalaghabaho:rip::hatari::bolt:
 
Hawafai nitafute nikueleze mie niko huku Kisumu nakuwa mara nyingi nairobi kikazi HAWAFAI HAPO KWENYE RED. Kama hujaelewa ni kwamba choo cha stand ni cha kushare abiria wanakuja nakuondoka so ndo walivyo infidelity kwao kama kawa

Kaka ahsante sana kwa opinion yako. Najua ukweli unauma. Kama hayo unayosema ni kweli basi umeifanya nimeshaanza kuingia mchecheto. Huyu mdada ni toka kabila la wakisii. Je kabila lao pia ni choo cha stendi? Kama unayo mengi please endelea kunipa nyeti halafu mimi mwenyewe nitaamua.
Natanguliza shukrani zangu
 
Kaka hongera kwa kuwa na huyo binti. Ila mm ninaishi nao, ukabila sipendi kabisa na nasisitiza sipendi. Lakini kujadili tabia ya watu wa kabila furani siyo vibaya, ili mradi uweze kujua unaishi na mtu wa namna gani ili uwezi kujua jinsi ya kuishi naye na kumchukulia. Hakuna mtu ambaye yuko "perfect" lakini kama wadau wengine walivyochangia, shida yao kubwa ni pesa, kama unazo haina shida. Ila pia wao wanapenda sana ukabila ni tofauti na watanzania ambao tunachangamana tuu na mnaishi bila shida. Kama ataweza kushida tatizo la ukabila ambalo wako nalo na akawa anakupenda ww jinsi ulivyo, bila shaka "you can make a good couple"
ubarikiwe!
 
wanaukabila,wabinafsi,wachoyo,walafi na wana tamaa ya maisha mazuri.wana wivu mkali ukiwaacha hawaoni tabu kukupoteza kwa njia yoyote.kwahiyo kama shilingi unayo waweza kaa naye kama hajaamua akumalize abebe mali,pia hata ukiwa naye lazima aende akachombeze na wa kabila yake.kingine jiandae kulea ukoo mzima,na atakachoamua baba au mama ni wewe utakiface nyumbani demu wako akirudi,kwa ujumla jiandae kwa wendawazimu ama tusikuone jukwaani tena hapo mbeleni.kalaghabaho:rip::hatari::bolt:

Well said ila hapo kwenye red vere vere vere ni balaa
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Mmh..umepata "Manzi" wa nchi jirani~he he he!.
 
Kaka ahsante sana kwa opinion yako. Najua ukweli unauma. Kama hayo unayosema ni kweli basi umeifanya nimeshaanza kuingia mchecheto. Huyu mdada ni toka kabila la wakisii. Je kabila lao pia ni choo cha stendi? Kama unayo mengi please endelea kunipa nyeti halafu mimi mwenyewe nitaamua.
Natanguliza shukrani zangu

Lala la mungu wangu hebu twende chemba mkisiiiii kaa mbali sana, wanaume wao hawairi, halafu wachawi ile mbaya hawajui kupika uwiiiii nitakupa data hapa hadharani noma
 
Back
Top Bottom