SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
- Thread starter
- #41
Well said ila hapo kwenye red vere vere vere ni balaa
Nimeanza kuingia mchecheto. Naogopa
Well said ila hapo kwenye red vere vere vere ni balaa
Nimeanza kuingia mchecheto. Naogopa
Lala la mungu wangu hebu twende chemba mkisiiiii kaa mbali sana, wanaume wao hawairi, halafu wachawi ile mbaya hawajui kupika uwiiiii nitakupa data hapa hadharani noma
Tuongee kwenye pm hapa noma
we mwagisha tu hapa jamvini itasaidia wengi
Mmh..umepata "Manzi" wa nchi jirani~he he he!.
Nimeanza kuingia mchecheto. Naogopa
Hawana shida yeyote ile wewe ishi naye acha ukabila na ubaguzi wewe
Binadamu wote ni sawa, kuna wazuri na wabaya katika kila jamii ok on equal scale
Judge her not where she comes from?
I hope you will take a sip of your own medicine... ninavyokujua wewe????, hivi nikichumbia dada yako utanipa baraka??? au kwanza utasema nibadilishe dini?
Really, kwanza kama siyo dini yetu hawezi kukubali for sure I can bet?
Pili ikitokea ntabariki bila shida mkuu, si kwamba sinta mshauri akubadili dini nitamshauri tena sana
Ikishindikana sintakuwa na kinyongo ok.
Sasa badala ya kumshauri mkuu aache ubaguzi binadamu wote ni sawa kwanini usimshauri dada yako aache ubaguzi?, tena bora yeye mmoja ni mkenya sisi wote ni watanzania.....
Hypocrite....Huo sio ubaguzi, huwezi kumwacha ndugu yako atoke kwenye uongofu aende kwenye giza bila kumshauri (wajibu)
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Mmmmhhh hapana
ni maliberal sana
wana swaga za kizungu
SI WATII si wapole ni wako juu juu mchek mama yao lucy kibak na weng wao wapo ivoo wanazngatia sana beijing..NDO MANA WANAUME WA KENYA WANAHA HAA kutafuta BIBI WA KITANZANIA wanasema wana huruma sana na wanawake watii kwa waume zao na wana uruma pasipo kuweka pesa mbele km wanawake zao wa kenya.
mmmh mkubwa kazi unayo wana shughuli hao balaaa, ukitoa hela hcho ndio kipenzi chao cha 2, usipomfikisha peak tu jiandae kupewa cha mbavu.... na uzi ni ule ule, swaiba wangu hapa anaugulia maumivu chuga huko....🙂
Ua very right.
Wakenya ni wtamu bwana. Ukionja hutaacha lafiki yangu.