mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,038
- 2,740
Habari ya usubuhi shemeji?.
Safi, kutik.
Habari ya usubuhi shemeji?.
Shemeji zangu wachaga mnalo mwaka huu..
Hahaaa...ushakinyaka sio...Safi, kutik.
ni nzuri sana lkn kuna ugumu wake hata wanandoa hufunga kwa kuridhishana au kwa sababu ya kitu fulani tu lakini kila mtu anamfikiria mtu mwingine akilini mwake je tutafika
Wakijipendekeza kuleni vichwa, December leteni mahera nyumbani tufanye yetu. Sawasawa?
Hahaaa...ushakinyaka sio...
Yaani unaweza kusema tabia za wachaga ndio mbaya tz nzima! Mbona Kila siku watu wanaachana huku mtaani na siyo wachagga? Acheni chuki binafsi jamani! Wachaga waliwakosea nn!! Yaan mtu akiomba hela tuu anaanza kusema huyu mchaga anapenda pesa Nani apendi pesa wanaojiuza Kila siku ni wachaga? Nyie waswahili kama dada zetu mmewashindwa oeni waswahili wenzenu acheni kulalamika unaombwa 20000 unakuja kulalamika huku!
Hivi mahari kwa mbebizi wa Kichaga bei gani?. Nataka nimuibukie mmoja hivi, Toyota Stout tayari nishanunua!....Watakomaje...........kila siku wachagga wachagga......lakini mziki wetu wanaukubali.......kuuacha hawataki........kazi kulialia tu......watafute hela mazafantaaazzz le mburulazzzzzz..........
Waache kutuoa.......wanatung'ang'ania wa nini........waende kwenye hao makabila wengine........
Wachagga are there to STAY........miaka 800.........
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!
Mtoa mada pole sana...lakini hayo uliyoandika huku sidhani kama yatakusaidia kunusuru ndoa yako
Hivi mahari kwa mbebizi wa Kichaga bei gani?. Nataka nimuibukie mmoja hivi, Toyota Stout tayari nishanunua!....
hawa watu acheni nilikuwa na demu wa kichaga siku ya tatu kufahamiana na kumtongoza akataka simu nikamnunulia ipad ..kila baada ya siku tatu anataka hela nikawa nampa tena kuanzia kilo..akitaka nampa ila uzuri wake mzigo alikuwa anatoa vzur na cku ukimpa hela utayaona mapenzi yake jamani alikuwa anapenda hela wacha alipokuja kuja kuniboa ni kutaka mtaji wa biashara halafu hataki mimi niwepo kwenye hio biashara ...hapo ndo ulikuwa mwisho wetu...nikajua huyu hana nia njema na mimi na sio mke wa kuoa kabisa nikapiga chini...ila alikuwa mzuri mtoto wa kirombo lakini katika kuacha sikuliona hilooo...