Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Heshima yako. Kuna sehemu popote naweza kusoma hii historia?
njoo nikisimulie,nakupeleka mpaka kwenye bwawa walikouliwa ukaone mafuvu ya vichwa vyao
Heshima yako. Kuna sehemu popote naweza kusoma hii historia?
Na wewe uko sweet sana??kumbe na ww una mchaga kiongozi? sweet like I? aje tuunde chama chetu cha masweet.
Punguza umbea na kupiga chabo dogo, utakuja kubaka kuku mchana kweupe.
Huyu Joel360 anatakiwa apate wa kumhenyesha mpaka awe tajiri then kibla, chap!
Tena ngoja kuna mbinu nzuri tu na haiachi ushahidi. Sindano ya maji moto!
mi wangu mchaga lakini ni kama siyo mchaga hana mambo ya ajabu, nikipata talwa nikikosa nitatafuta ili nipate ananivumilia.
Na wewe uko sweet sana??
Ngoja nichore picha kubwa leo kuhusu ndoa, ni wapi tunakosea mpaka kila siku tunapata kusikia au kuona haya matatizo kila siku kwenye ndoa.
Walio wengi wetu tunasahau ile siku ya kwanza kabisa unaangukia kumpenda msichana kabla ya kuanza uhusiano naye na mwishowe mnakuwa mke na mume. Tulio wengi kikubwa tunaanzaga kuvutiwa ni muonekano wa nje wa mwanamke au mwanamme ndiyo inakuwa chanzo cha kuangukiana kimapenzi. Pale pale anaanza kufikiria watoto wake watazaliwa na muonekano upi?, ukitoka naye kwenye kadamnasi watu watamchukuliaje?, vipimo vya elimu zenu na vitu vingine vingi kama hivyo.
Lakini tukisha gubikwa na yale mapenzi ya maono ya nje huwa tunajikana nafsi zetu na kusahau- kutambua kuwa sisi binafsi tuna ndoto zetu,- nafasi zetu za uwepo wetu hapa duniani, ushawishi wa vitu fulani, uwezo wetu wa kujituma na kikubwa tabia pia. Sasa mkishafunga pingu za maisha kila mtu nafsi yake inarudi kwenye uhalisia na ndipo tunapoanza kutambua kwa mshangao, Amah! Kumbe ndoto zetu tofauti, huyu mwenzangu mvivu na tegemezi sana huyu, sijui tabia yake mbaya sana huyu na mambo mengiii sababu kwenye uchumba mlijikana nafsi zenu wenyewe na kushindwa kulinganisha ndoto zenu, maono yenu, tabia zenu (hususani kwa wanawake wanaficha sana) kama zinashabihiana.
Ndoa ni maisha na kama ukishindwa kupata mpenzi mnayeshabihiana kitabia, misukumo ya kujishughulisha, maono, ndoto, ushawishi na ukampenda tu sababu anamuonekano bomba (hata awe mzuri kama malaika) mpasuko ndani ya ndoa hauepukiki. Mkishatulia tu mkianza kuendeleza maisha yenu misuguano inaanza ndani ya ndoa.
Cha mwisho usitake kuoa tu sababu mke au mume akuletee ukamilifu kwenye maisha yako utaangukia puwa. Pia kama binafsi hauko mkamilifu mpasuko ndani ya ndoa hauepukiki. Hivyo msifate sura na muonekano pekee kama unataka kuishi maisha ya furaha kwenye ndoa nasisitiza lazima tabia, ndoto, maono, na ushawishi vishabihiane- si na kufanana kabisa kila kitu.
wewe Joel360 unasema shemejio hana hoja ya msingi!?tutakunyang'anya Grace shauri yako
Mutuwache tupumuwe bhana..khaa..Kila siku hapa JF kuna topic za kukashfu wanawake wa kichagga, mbona hamuachi kuwaoa? Kumbukeni kuwa marioo hawatakiwi uchaggani, kama wewe ni wa type hiyo lala mbele kaoe kwenu. Halafu kila mtu anapenda pesa hapa duniani, sema wachagga wanazitafuta sana na wanazitumia sana.
njoo nikisimulie,nakupeleka mpaka kwenye bwawa walikouliwa ukaone mafuvu ya vichwa vyao
Chuneni hao chasaka tukutane pale Ksambo disemba turie kidoko.
ila si wachaga wote wako hvyo wengine ni safi kabisa.
Siku hizi wanaume ni wachache sana,wengi wetu vivulana tu.kulalama tu hovyo..
Wala namwambia ukweli hao kuwabinua na kuwaacha
haya babu pale kwa kombe
Hahahahah keimamae walaah.....
Umeona sasa. Kumbe we mwanaume. Kwa mwanaume binti wa kichagga wala hamsumbui. tatizo ni hivi vivulana vimarioo. dada zangu acha wawapige tu. baaas
uzuri wa waschana wa kichaga ni kuwa si wazembe na magolikipa ndo maana ninampango wa kumuoa huyu mtoto wa kichaga.