deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 946
ila si nyota njema huonekana asubuhi
muda mwingine kuna mawingu na mvua inanyesha giza ziiiiiii
ila si nyota njema huonekana asubuhi
Mutuwache tupumuwe bhana..khaa..Kila siku hapa JF kuna topic za kukashfu wanawake wa kichagga, mbona hamuachi kuwaoa? Kumbukeni kuwa marioo hawatakiwi uchaggani, kama wewe ni wa type hiyo lala mbele kaoe kwenu. Halafu kila mtu anapenda pesa hapa duniani, sema wachagga wanazitafuta sana na wanazitumia sana.
Huyu Joel360 anatakiwa apate wa kumhenyesha mpaka awe tajiri then kibla, chap!
Tena ngoja kuna mbinu nzuri tu na haiachi ushahidi. Sindano ya maji moto!
Mario kaa mbali kabisa ukileta pua uchagani must uwe toilet keeper.....kuflash choo cha mkeo.otherwise ukubali kudumpiwa tu
Mmmh... Sio kweli. Hata nyie mna statas za kawaida sana. Naona sasa mnaanza kujipaiaha kisa mnapewa promo.Mario kaa mbali kabisa ukileta pua uchagani must uwe toilet keeper.....kuflash choo cha mkeo.otherwise ukubali kudumpiwa tu
Mario kama yule ndugu yenu mrombo. G habashi
Wanaokosea ni hao wanao jumuisha wachaga wote kuwa na tabia moja.Tabia hazina kabila kama mtu anatabia mbaya ni yeye wala ukoo wake haukumfundisha kuwa na tabia mbaya.
Labda niseme tu wachaga wanapenda sana kuitafuta hela kwa kujishughulisha kwa namna yoyote ile.
Mmmh... Sio kweli. Hata nyie mna statas za kawaida sana. Naona sasa mnaanza kujipaiaha kisa mnapewa promo.
kunihemesha au kunichuna nibaki mweupe
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!
Wengi wao ni vichaa na hawana aibu wala busara. Na hiyo ni kwa sababu wana adrenalin nyingi mwilini.
Mario yeyote yule haijalishi
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.
Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
hao nshathibitisha hakuna kitu, ila wanavutia hasa hadi kuna wakati najiulizaga au ni wengi hapa nchini?? maana kila ninaponasa ukiuliza kabila unajibiwa mimi mchaga.
Mwambie kabisa... umarioo hauna kabila.

Ewaaa..... chukueni mahela kwa hayo masembo tukadumishe mila sisi. Wapigwe tu.
hao nshathibitisha hakuna kitu, ila wanavutia hasa hadi kuna wakati najiulizaga au ni wengi hapa nchini?? maana kila ninaponasa ukiuliza kabila unajibiwa mimi mchaga.