Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,927
- 6,417
Polisi wanaweza wasaidia kwenye chaguzi za marudio tu, uchaguzi mkuu awatoshi nchi nzima ni wachache.Hivi jiji la Mbeya lina askari polisi wangapi? Kwenye uchaguzi mkuu hakuna kuomba msaada wa polisi eneo jingine, kila mmoja anapambana na hali yake. Wananchi wakigangamala hakuna kura ya kuibiwa, labda mawakala wawe wazembe!