Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

7 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

WAZEE WA KIMILA MBEYA WAMCHANGIA DR. TULIA ACKSON, FOMU YA UBUNGE



Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Tulia Ackson Mwansasu akutana na viongozi wa kimila (machifu) walioongozwa na Chifu Mkuu wa Machifu wa Rungwe Chifu Joel Burton Mwakatumbula ili anapokwenda kutia nia wanampa kichache na kumtakia kila la kheri anapokwenda kugombea.
Source : MbeyaYetuOnlineTV
Haya sasa
Siasa Kama movie vile jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchuano
View attachment 1499535

Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.

Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Screenshot_20200708-001800_Instagram.jpg
 
Sugu moto juu kwishney!! yule mvuta bangi atakuwa meneja wa hoteli yake soon!!

Tukishindwa kuhesabu kura za Tulia basi DED atasaidia!! Tukishindwa kujaza kura za Tulia basi DED atazijaza!!

Sugu ni mhuni plus na hajafanya chochote kwa wanambeya zaidi ya kuropoka bungeni tu!! sijui ni lini wanambeya watakuwa na akili timamu!! Sugu must go back to the Studio with P Funk Majani (Bange)!

You must watch the video below to understand who is Sugu in real world!! akija jukwaani ni fake Sugu!!

 
Ila miongoni mwa Majimbo yatakayokuwa na Ushindani mkubwa kati ya Chadema na CCM ni Jimbo la Mbeya Mjini......,...SUGU TULIA
 
Back
Top Bottom