Mie sijibishani na wamasai. Ila nna swali, unadhani wewe ni bora kuliko huyo dada?!
Unajijuaje kama we ni handsome??
Hebu thibitisha!
Shaloom Wakuu!
Hii ni kwa ajiliya wale inayowahusu tuu! Kama haikuhusu thn soma kimyakimya halafu tembea.
Juzi Ilikua mara nyingine tena mimi kukutana na mdada mmoja wa JF. Mimi ndo nilimuanza baada yakuona anajisifu na kujiona sana kwenye sector ya relationship. Niliona ngoja nione ujasiri wa huyu dada maana kupitia post zake anajiremba visivyorembeka, anajisifu visivyo sifa, anaponda wenzake haswa wakina kaka.
Bila hiyana dada wa watu alikubali kukutana na mimi maeneo ya Survey pale Brajec, nilitajia kuona malaika wa kiafrica, nilitamani muda uende ili nione huyu sweet mtoto anyejiona hana kasoro kwenye post zake.
Simu yangu ya mchina iliita, na nikaipokea na kumuelekeza nilipokaa. baada kama ya dakika mbili hivi, alitokea mdada mfupi mweupe kiasi, kavaa sketi fupi, viatu virefu, na weaving flani hivi.
Sasa mwonekano wake kwa kweli ulinichefua, alikua anafanana na Malaya wa Kinondoni Leaders hivi, kibaya zaidi ni pale weaving lake lilipo peperushwana upepo hee kumbe dada wa watu anapara tenu chupa.
Aisee niliumbuka na kuumi a sana, mdada anajisifia nyuma ya keyboard lakini in reality ni shakunaku tu. Huyu ni dada wa tatu ninayekutana naye kutoka JF, na wengi wao huwa wanajitangaza wenyewe eti wanataka wenza.
Jamani badilikeni. Be yoselves!
Samahani kama nimekuudhi.
Mkuu haina haja ya kumbwatukia, kwani katoa angalizo
(Hii ni kwa ajiliya wale inayowahusu tuu! Kama haikuhusu thn soma kimyakimya halafu tembea.)
Binafsi sijapenda alichofanya, lakini pia hakutaja jina wala kuweka avatar, sio tatizo sana. Na ametoa angalizo la watu kuwa wahalisia..Tusijipandishe sana
Mama anasema, dada,marafiki,watu wengine ata members wa Jamii forums
Unajua mkuu, nlivyoona hautokei huku nkajua imekubamba...hahahahahaha
usikute jamaa kichwan alitengeneza picha kama yako vile halafu kufika anaikuta sura kama imetoka depo la komando hahahaa
Sasa ndio mchukue tahadhari, mambo ya kukutana na watu wa jf sio afya. Hahaha mkuu, Ulivyo sisitiza hiyo sura mpaka unanivuta PM nkutafute private.hapana mkuu mimi angekuja huku analia kwa sura ambayo angekutaa anyo afu nakula nakunywa bila kujali angejuta
Sasa ndio mchukue tahadhari, mambo ya kukutana na watu wa jf sio afya. Hahaha mkuu, Ulivyo sisitiza hiyo sura mpaka unanivuta PM nkutafute private.
Yakhee wee ndiyo huna adabu kweli !!!!! Sasa ya nini kumdhalilisha na kuja kumkashifu au kukashifu sistaz wa JF !! wewe ndiyo uliyemuumba? weka heshima na upotezee.
Hopeless man....! aibu hata kujiita dume.
Mimi sitajutia, ila hata kama unatisha nagegeda kwanza, kama kujuta baadae..I have to complete the mission first.ha h ha ha ha hah a kama unahamu ya kulia njoo.... ole wako baada ya kulia ulete maneno huku jukwaani
Halaf atuwekee hapa dada zake wote tuone kama ni wakaleee
hahahahahuyu jamaa hana tofauti na holygrail!
vinginevyo naomba niseme tu ni yeye!!!
majuzi alikuja na kusema wadada wanamsumbua sana pale CoET.. tukakausha!
kipindi kile kasema wahaya ooh waache kujiuza, tukakausha! leo hii tena anakuja kuponda wabebez wa JF!
umechefua meeen! no perfect woman in this world, no man too!
next time time you post, dont use molasses, spices and flavorings (konyagi)