Je wewe ni handsome kama mimi? Unaweza kuwa unaponda wenzako kumbe wao ndio wanakukimbia na kukuzimia simu baada ya kugundua wewe ni kituko.
Kuna uwezekano mkubwa wewe ndio muanga. Mkikutana wanakukimbia kwa jinsi ulivyo hivyo umeona umalizie hasira kwa kuwachafulia jina.
Kabisa, na ndio inatugharimu wengi wetu. Tatizo wadada na wakaka wa humu JF wanajifagilia sana, kiasi kwamba wanajenga expectations kubwa kwa wenza wao. Mfano mmoja ni huu HAPA, ambapo mkaka wa watu alijikut akiwa mdogo kama mbegu ya mchicha. Twende kazitoo much expectation
sa nyingine na yeye mwenyewe kituko, we huwez ukamsema mwenzio wakati wewe hujui wengine wanakuonaje...!!hahahahhahaaa umenichekesha sana, ila pia unavyowafanyia wenzio sio vzr kaka, kwani we nia yako ya kukutana nao ni nini hasa? je na wewe unatafuta mwenza au? kama ndivyo ukikutana na mtu ukaona hakufai kaa kimya sio kuja kuwadhalilisha humu
Bora umemkumbusha hilo...huyu jamaa hana tofauti na holygrail!
vinginevyo naomba niseme tu ni yeye!!!
majuzi alikuja na kusema wadada wanamsumbua sana pale CoET.. tukakausha!
kipindi kile kasema wahaya ooh waache kujiuza, tukakausha! leo hii tena anakuja kuponda wabebez wa JF!
umechefua meeen! no perfect woman in this world, no man too!
next time time you post, dont use molasses, spices and flavorings (konyagi)
Miwanaume mingine bana.....inaelekea huna cha kufanya wewe..we mwenyewe uejaa mikasoro kibaooo, jichunguze kabla hujaenda kwa wenzio,kwan upara wa achabu?hujui kuna fashen hiyo...ufupi wake we unakuhusu nini kwani mkeo huyo? peleka huko upuuz kwa wanaopenda ujinga kama wewe
Sio mimi but ameniboa kumsema mtu hivyo..Huwezi ukamchambua mtoto wa mwenzio kama wewe ndo mzazi wakejamani kulikoni kwani ndo wewe?
Sio mimi but ameniboa kumsema mtu hivyo..Huwezi ukamchambua mtoto wa mwenzio kama wewe ndo mzazi wake
Shaloom Wakuu!
Hii ni kwa ajiliya wale inayowahusu tuu! Kama haikuhusu thn soma kimyakimya halafu tembea.
Juzi Ilikua mara nyingine tena mimi kukutana na mdada mmoja wa JF. Mimi ndo nilimuanza baada yakuona anajisifu na kujiona sana kwenye sector ya relationship. .....
Bila hiyana dada wa watu alikubali kukutana na mimi maeneo ya Survey pale Brajec, nilitajia kuona malaika wa kiafrica, nilitamani muda uende ili nione huyu sweet mtoto anyejiona hana kasoro kwenye post zake.
Sasa mwonekano wake kwa kweli ulinichefua, alikua anafanana na Malaya wa Kinondoni Leaders hivi, kibaya zaidi ni pale weaving lake lilipo peperushwana upepo hee kumbe dada wa watu anapara tenu chupa.
Aisee niliumbuka na kuumi a sana, mdada anajisifia nyuma ya keyboard lakini in reality ni shakunaku tu. Huyu ni dada wa tatu ninayekutana naye kutoka JF, na wengi wao huwa wanajitangaza wenyewe eti wanataka wenza.
Jamani badilikeni. Be yoselves!
Samahani kama nimekuudhi.
Matambo ya mtu ndo yanakupa shauku ya kumjua undani wake mfano.kila siku anaandika wanawake wazuri kama huna pesa wataishia kuwa dada zako,hii itakufanya utake kujua sura yake inaonekanaje,mara gali langu la tatu nimelichukua bandarini leo.
Sio mimi but ameniboa kumsema mtu hivyo..Huwezi ukamchambua mtoto wa mwenzio kama wewe ndo mzazi wake
Mkuu haina haja ya kumbwatukia, kwani katoa angalizoKweli siyo vizuri kudharau uumbaji wa Muumba kwani kila kazi aliyoifanya aliiona njema,yeye ndo kawafanya wengine warefu na wengine wafupi,..hutenda kama yeye apendavyo.