KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,943
- 9,457
Mimi napita nimesoma kimyakimya kwakuwa hainihusu na yalishanitokea mmoja akaenda mbali zaidi akitaka kujua kama ninamahusiano nikamuuliza kwani wewe ulitakaje nataka mume siyo mtu wakunipotezea mda nikamwambia bora umesema maana nileo tumekutana na leo unataka uwemke mhm!