Wanawake wa JF badilikeni!

Wanawake wa JF badilikeni!

Status
Not open for further replies.
Mimi sitajutia, ila hata kama unatisha nagegeda kwanza, kama kujuta baadae..I have to complete the mission first.
Hizi ndio hasara za Easy target

kabisa easy target mbaya sana.... unagegeda huku unafunga macho na unalia mmmh kazi ipo
 
tatizo wewe ulitengeneza mtu wako kichwani alipofika mwenyewe ndo ukakutana kitu chenyewe hata ulishindwa omba picha kwanza ukome kudandia wadada wa watu... hapa 99% ni fake

Kwa taarifa yako Mungu hajaumba mtu feki wote ni Original,futa kauli yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwan hujanisikia kaka yangu au kunielewaa,yeye anasema dada wa watu wabaya atuwekee na wake hapa tuwaonee

Ha ha haaaa usijenirukia kwa hasira bure!!!!!!
Nawe ukiitwa dadangu usikimbilie mialiko utanitia aibu mie!!!!
 
Matambo ya mtu ndo yanakupa shauku ya kumjua undani wake mfano.kila siku anaandika wanawake wazuri kama huna pesa wataishia kuwa dada zako,hii itakufanya utake kujua sura yake inaonekanaje,mara gali langu la tatu nimelichukua bandarini leo.

Mtu anaweza kusema ivo kwa niaba ya wale walobarikiwa ivo.
 
Ha ha haaaa usijenirukia kwa hasira bure!!!!!!
Nawe ukiitwa dadangu usikimbilie mialiko utanitia aibu mie!!!!

Siwez kukurukiaa wewe tenaa!!!aaaa mi mitoko kwangu haipo bana nisharizika na shemeji yako ananipenda jinsi nilivyo siwez kukuaibishaa
 
hahahahhahaaa umenichekesha sana, ila pia unavyowafanyia wenzio sio vzr kaka, kwani we nia yako ya kukutana nao ni nini hasa? je na wewe unatafuta mwenza au? kama ndivyo ukikutana na mtu ukaona hakufai kaa kimya sio kuja kuwadhalilisha humu

Atakuwa mvulana bado,
 
Siwez kukurukiaa wewe tenaa!!!aaaa mi mitoko kwangu haipo bana nisharizika na shemeji yako ananipenda jinsi nilivyo siwez kukuaibishaa

Saaafi sana maana ungekula viboko mpaka usema mimi sio kaka yako!!!!!
Mahari tushatumia sie halafu tukija daiwa si itakuwa fedheha!!!!!
 
Kaka mjini shule. Inawezeka alimtuma mwenzake au alimpa dili mwenzake. Hayo mambo yapo kama huyo mtu alikuwa anatafuta mwenza na alishampata, hizo fursa zinazoendelea kujitokeza anawagea pange mashost zake. Mjini hapa kaka kuwa makini.
 
We mwenyewe unamapungufu don't judge anyone by his or her appearance buuuuhhh
 
Ha ha haaaa mpwa hayo maelezo yaliyotolewa akili yangu haiwezi kuwa inani danganya!!!!

Hahaha....ngoja mimi nikae kando niendelee kuisoma tu hii movie mpwa maana hata sielewi mleta mada kaguswa na nini hasa hadi kaja hapa.

Ananikumbusha kisa kimoja kilitokea hapa hapa jamvini mwaka jana, kuna jamaa kaenda zake Steers pale Posta Mpya kufanya miadi with so called "Mdada wa JF", basi kufika hapo anasema aliingia mdada ana sura kama chapati iliyochomwa bila mafuta...

Kesho yake tu yule jamaa akaja hapa jamvini kushusha thread ya madongo kama huyu, haijapita wiki yule mdada wa JF naye akashusha thread yake naye kujibu mapigo...
 
wanaume wana matatizo sana
kwa hiyo wewe ulitaka kuonana na :tape:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom