fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,692
- 9,296
Unadhani tumbo la mama yako lingemkata stimu baba yako ungezaliwa?Asee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
Unadhani tumbo la mama yako lingemkata stimu baba yako ungezaliwa?Asee,hivi tumbo la mwanamke kuwa hivi nini sababu?
Wanakata stimu sana mjue
Duuh,Vitu vyanguu
View attachment 3579007
Can be forever!Anakua hivo kwa muda gani?
Sijawahi kuona.Can be forever!
ukipata mke ukamzalisha unaweza kuona!Sijawahi kuona.
Ndio akaamua alianike?Huyo kajifungua bado tumbo halijarudi kiufasaha
[emoji23][emoji23][emoji23]na wewe unakuta una bonge ya kitambi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimerudi mahi, [emoji23][emoji23][emoji23]umerudi coca
aiseeeNimerudi mahi, [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mahi kwanini JF ikutese hivyo?? Wee ruka kivyovyote unavyojiwa.aiseee
nyie watu wawili ni moto
mi watu wananiburuzaga hapa jukwaani
nakaa kimya
ila nyie shengesha mnaiweza
uwezi amini kwa takriban miaka 13 hapa jf sijawah kula ban
naogopa[emoji23][emoji23][emoji23] mahi kwanini JF ikutese hivyo?? Wee ruka kivyovyote unavyojiwa.
Hakuna kupoa atii.
Polee, [emoji23][emoji23][emoji23]naogopa
acha tu niwe fala