Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Kwa sababu hizi basi mbaki single tu maana kasoro kama zote mnatoa
 
Manzi ambae haniombi hela siwezi kumuoa.

IMG-20211216-WA0084.jpg
 
Hapa hakuna chuki, tunatoa maelekezo kwa vijana wanaotafuta wake.

Wanawake wa namna hii ishia kula tu, usidhubutu kuoa.

1. Wanaovaa vikuku. Kama unabisha mpeleke kwa mama yako akiwa na kikuku.

2. Waliotoboa pua.

3. Wanaovaa suruali za kubana na vimini. Kama unabisha mpeleke kwa baba yako akiwa na mini.

4. Wanaopenda club na pombe kwa wingi.

5. Waliojichubua,anakuwa kama kapanya kamepakwa unga.

6. Wanaotoa kinyume na maumbile.

7. Wanaopanda vyeo kisiasa sababu ya kuwa karibu na wazee wa chama,wakati mweupe.

8. Mwanamke asiye na akili.

9. Mwanamke mwenye tatoo

10. Mwanamke anayetumia tako kama msingi wa biashara

11. Mwanamke msela kujimiksi na wavulana ni laana.

Ongeza na wewe bila chuki
Pole sana kizazi hichi kimeanza kupotea..kilichoanza kuingia sasahivi hayo ni mambo ya kawaida sana..huoni kajala na mwanae..shooshoo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuhus vikuku tenaa bhnaa! Je Kam bwan kakubali nivae
 
Pole sana kizazi hichi kimeanza kupotea..kilichoanza kuingia sasahivi hayo ni mambo ya kawaida sana..huoni kajala na mwanae..shooshoo.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio maana wanaishia kuliwa tu hao kina Kajala na mwanae. hivi kweli mtu na akili zako unaweza kuoa Kajala?
 
Back
Top Bottom