Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Miongozo ya wanawake wakutooa imewekwa bayana; hebu tuweke na miongozo ya wanawake wa kuoa; kuna jamaa yangu anasema haijalishi factor nyingine ye akipata bikira mapema tu anaenda kulipa mahari.

Nafikiri factor moja kubwa ya kuoa ni bikira. Japokuwa hapa inaweza kuwa mmoja kwa elfu so its a fact wote hatuwezi pata mabikira.
 
Kuna hawa wa viatu manyoya ni pasua kichwa sioi waniue tu
1639703476408.png
 
Mwanamke ambaye sioi:

-Mwenye mashosti na kupenda ku cling na circle ya mashosti.
-Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza.
-Kikuku na tatoo za ugoko au shingoni, mgongoni is disqualified.
-Njaa oriented, mwanamke wa kuomba omba 24/7 matatizo ya dunia kama anayamiliki yeye tu Mungu aniepushie hilo balaa tu.
-Much know na ubishi wa kijinga.
Kuna tattoo unazikubali? Akili tu ya kuwaza tattoos inampa zero
 
Miongozo ya wanawake wakutooa imewekwa bayana; hebu tuweke na miongozo ya wanawake wa kuoa; kuna jamaa yangu anasema haijalishi factor nyingine ye akipata bikira mapema tu anaenda kulipa mahari.

Nafikiri factor moja kubwa ya kuoa ni bikira. Japokuwa hapa inaweza kuwa mmoja kwa elfu so its a fact wote hatuwezi pata mabikira.
Mwache akalipie mahari chuchunge ili tukutane kwenye viti vya bar😂
 
Unafeli sana jamaa, yaani unaoa kwa kuwaridhisha wazazi wako badala ya kujiridhisha wewe! Kwani uyo mke ataishi na babako?
 
Demu ambaye yupo tayari kukopa hela awe na madeni ili tu apeleke kanisani.... huyo ni wa kumla na kuamsha.... no discussion...

Ninaye mmoja wa sampuli hiyo
 
Kila mtu ana chaguo lake na maamuzi yake wewe ukiona wa nini mwingine anajiuliza atampata lini?
 
Mwanamke mwenye makucha marefu kikuku, tattoo, mvaa vimin, Mwanamke makelele much know huyo n bomu
 
Back
Top Bottom