Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Hawa wa kujichubua hata me HAPANA napenda sana mwanamke awe na natural color hata kama ni mweusi (my favorite) kama mkaa au mweupe awe na rangi yake OG, rangi za kuboost na calorite sizitaki aende akasaidie viwanda vya vipodozi kutest bidhaa zao kama vipi.
kuna jamaa huwa anasema yeye kwake mwanamke akishakua mweupe Basi huyo Ni mzuri haijarishi ana nini
 
Mwanamke ambaye kazalishwa huko basi kila saa anapost status kabetua midomo na mtoto wake kila saa anampost mtoto wake hata akijisaidia anampost tu mpaka sehemu ya status inaweka vialama vya hivi
___________

Nasema hivi huyo sio wa kuoa acha awe singo maza tu we kula afu pita fyade, hata usithubutu kumzalisha tena make mwanao atapostiwa kama bidhaa ya matangazo ya pedi..
 
kuna jamaa huwa anasema yeye kwake mwanamke akishakua mweupe Basi huyo Ni mzuri haijarishi ana nini
Huyo kama mimi tu sipendi mwanamke anaejikoboa ngozi.. Eti nikutane nae ni black beauty afu baada ya miezi kadhaa kashakua na ngozi maji ya kunde eeeh eeeh hapana kwakweli..
 
Mwanamke...

anayevaa wigi (mzimu)

anayetoboa sikio matundu zaidi ya moja

Anayetoboa pua(with exception kwa makabila machache)

Anayechora tatoo

anayevaa vimini na visuruali vya kubanaaaa

Anayeona sawa tu kuhang na wanaume kama washkaji.

Ambaye marafiki zake ni wana tabia za ajabuajabu.

Ana mentality ya kwenda kwa waganga sana. Ulozi.

Anapaka make up

Anajichubua

Anaweka makucha bandia

Ana mdomo kama chuchunge

Anashinda sana kanisani, morning to midnight.

Aiseee sijui nimeacha nini ila those type of women tongoza kwa saundi yoyote hata ya kuoa, then kula chapa raba...

Kuna mwingine ana vichache kati ya hivyo mfano kama kucha bandia, wigi, kuvaa vimini na suruali n.k. Hizi kama unaona huyo mtu unaweza kumshauri na akaviacha you can do it. Coz ni vitu vidogo ila mtu akiamua kukomaa navyo we kula amsha.
 
Mwanamke ambaye sioi:

-Mwenye mashosti na kupenda ku cling na circle ya mashosti.
-Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza.
-Kikuku na tatoo za ugoko au shingoni, mgongoni is disqualified.
-Njaa oriented, mwanamke wa kuomba omba 24/7 matatizo ya dunia kama anayamiliki yeye tu Mungu aniepushie hilo balaa tu.
-Much know na ubishi wa kijinga.
Ujaoaga tu
 
Miongozo ya wanawake wakutooa imewekwa bayana; hebu tuweke na miongozo ya wanawake wa kuoa; kuna jamaa yangu anasema haijalishi factor nyingine ye akipata bikira mapema tu anaenda kulipa mahari.

Nafikiri factor moja kubwa ya kuoa ni bikira. Japokuwa hapa inaweza kuwa mmoja kwa elfu so its a fact wote hatuwezi pata mabikira.
Anawezakua na bikra ila akawa natabia mbovu .. mchoyo gubu kiburi tamaa ya pesa mvivu .. nk kwaiyo bikra siyo kigezo
 
Anawezakua na bikra ila akawa natabia mbovu .. mchoyo gubu kiburi tamaa ya pesa mvivu .. nk kwaiyo bikra siyo kigezo
Bado bikra itabaki kuwa kigezo sema ndo ungezee mavigezo mengine sasa unayoyataka kama hivyo asiwe mchoyo, gubu nk...
 
Back
Top Bottom