Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Hongera Mkuu, nikupongeze kwa ujenzi wa jamii.... pamoja nikusihi usijitose ktk mashimo usiyoyajua, hali siyo nzuri!!!Kiongozi, nimeona vingi huku na kilichonileta ni kukamilimisha taratibu za uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nilikotoka.