luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,792
Mkuu karibu dar, ww ukiona shore mzuri basi jitahidi kukemea tu "kwa jina la yesu" nyingiii, ukifanya hivyo utarudi mkoa salama u salmini bila buguza
ahaaaaaaaaaaaaaa!
Mkuu karibu dar, ww ukiona shore mzuri basi jitahidi kukemea tu "kwa jina la yesu" nyingiii, ukifanya hivyo utarudi mkoa salama u salmini bila buguza
Karibu mjini...
angalia wasikuchune hadi ukose nauli ya kurudi huko ulipotoka
hili ndo jiji sio kijiji

bae are you back in town?