Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,302
Wandugu, salamu sana,
Poleni sana kwa majukumu ya siku na kwa mlio Dar es Salaam poleni kwa mvua.Tangu jana jioni nipo ndani ya jiji lenu mnaloliita la opportunity, ingawa nilipokelewa na mvua ambayo ilinifanya nililowane mpaka naniliu zangu.
Pamoja na kuwa niliingia humu usiku lakini niliweza kuwaona mabinti na wadada kadhaa wenye mvuto walioniondolea utulivu maungoni kwangu, lakini nilijikaza. Kivumbi kilikuwa leo hii, nilipokuwa maeneo ya Posta Mpya.
Aisee Dar es Salaam kuna wanawake wazuri asikwambie mtu. Kila niliyemuona alimzidi mwingine. Mavazi yao, miondoko yao, zungumza yao, pozi zao ni full uchokozi. Nilipata wakati mgumu mno.
Ilifika mahali nikawa najiuliza hawa wanawake wa Dar, watakuwa na naniliu za tofauti na wale nliowazoea kule Nanyamba ama? Manake wa huku kwenu wana maringo, wananata balaa. Aisee wanaume wenzangu wa Dar es Salaam mmependelewa, tena mnafaidi sana.
Hongereni