Wanawake wa Dar mnapenda sana hela

Wanawake wa Dar mnapenda sana hela

Wanawake wa Dar siku hizi na wao wanatrend kama wanaume wa Dar..Hahahah
 
halafu wakishajua wewe ni wa mkoa ndo wanakuganda balaa
 
Kama wanapenda pesa shauli zao, masingle mother wanatulilia usiku na mchana hawatupati!
 
Mnataka tupende maji ya uzima kutoka kwenu ninyi ni Mungu??
 
MLETA MADA KUNA KITU UNATAKIWA UKIELEWE KWANZA KUHUSU WANAWAKE WA DAR ........

WANAWAKE WA DAR WAMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MAKUU MATATU........

1.MADEMU WA KISHUA.

2.MADEMU WA USWAHILINI .

3.MADEMU WABUKUAJI YAANI WASOMI.

SASA WEE MLETA MADA UNAZUNGUMZIA HAPA MADEMU WA AINA GANI
 
Sio lazima kila.mtu aolewe...

Ila pesa kuisaka lazima

Kuwa macho
 
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja msichana alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*
 
Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui mliona nini humo...hamtaolewa ng'o,jifunzeni kwa wenzenu wa mikoani.
Tulikuja mjini kutafuta hela, au ulidhani sote tulikuja kuhubiri injili au kukimbiza mwenge ?!
 
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja msichana alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*
Tunajifunza kulia uongo na kweli [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kama muoaji mwenyewe Ndio wewe elfu kumi moja unaomba mate kwa jirani zako Hadi balozi wa nyumba kumi,aaaghkaaa. Nisiolewe tu. Lakini bahati mbaya nishaolewa na mume wangu anajua napenda ela,that's y kanifungulia biashara zangu and ninapokuwa na shida ya pesa namwambia na hasiti kunipa. Mmezidi nanyi kila siku wanawake wanawake mmmmg. Hebu tuacheni jamani tupumue,sit down....be humble
 
Kukosa pesa ni kubaya sana hata kama una PHD ya maembe kutoka chuo kikuu cha Cambridge.
 
Back
Top Bottom