watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,645
Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi yasiyolewa wala kushiba kirahisi. mnatoka out mwenzako unamuona kanuna, ole wako sasa umuulize kwanini, utasikia gesi ya mtungi imeisha, mama anaumwa, woiiii 🔥 hii imekuwa out au fujo sasa.
Kwa upande wa Arusha nawaelewa sana, mambo yapo direct, sie watu wazima bwana, nipe kampani nikupe kampani tupunguzane stress, hata kama sio long term relationship tunaweza tumia muda mchache kuugeuza kuwa memories nzuri si kumbukumbu za uswahili, it takes two to tangle !
Kwanza mkishaelewana ukapiga intro yako, siku mtayopanga mkutane wapo sharp kwenye kujali muda, saa kumi ni saa kumi sio inafika hadi saa moja mtu anasema anajiandaa basi tu kutafuta attention kwamba anajali mavazi na kujisifia kwa wenzake akiwaonyesha meseji zako za "uko wapi" ajisifie yeye keki. pisi za Arusha hazina mambo mengi kwenye kujiandaa, kwanza huwa wanajikubali walivyo na ni wazuri hakuna haja ya kujifoji sana.
Kwenye vinywaji hawana mambo mengi, ataagiza "NYEUPE" yake ndogo na maji, mambo ya kujifanya kunywa visavana hio ni fek life, pisi nyingi zinapiga sana nyeupe ila ukizitoa out zinapretend ndio hapo unaona inafika hadi chupa ya 7 ya savana bado hayupo stim. halafu ukiwapata wale wa A town wenyewe ana kitu chake tayari kwenye pochi, ikifika mida anawasha, yani shega tu ! living her life, mtu yupo real na ana pesa zake.
Story zinaendelea huku mnasubiri nyama choma, unaona jinsi mtoko ulivyo ? mosi hakuna kiwingu cha watu wengi, mpo wawili na ndivyo inavyotakiwa iwe, pili mtoko unatumia gharama ndogo, tofauti na kwa wengine wataanza mitikasi za ku scan menu, kuanza kuchagua pizza, lobusta, chicken fried rice, n.k. basi tu kuigana, kujipiga picha za ushahidi nae kala pizza na kukukomoa.