Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

bikra kwanza maana naona wimbi la kupoteza mabikra linazidi kuwa kubwa, cku hizi mabikra wamekuwa dragon, dinosaur, na magodzilla waliopotea miaka ile..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ndio nyie hamuoi kwanza mpaka mwanamke aanze kutema mate na kula ndimu. Na ndio maana mchina aligundua kuna watu kama nyie akatengeneza feki
 
Naam heri nusu shari kuliko shari kamili.
Kabisaaa. Mambo yamebadikika sana. Mitindo ya maisha ya zaman na siku hizi tofauti. Zaman wazee wanagombana wakitoka nje mke na mume mfano wa kuigwa wakiingia ndani kila mtu na chumba chake. Au chumba kimoja ila kila mtu na kitanda chake. Je kizazi chetu tunaweza
 
Reactions: BAK
Kuna eneo fulani wanawake waliandamana kutaka waolewe;pia wanawake wanaongoza ktk vikundi vya maombi ya kuombea wachumba;waliojikatia tamaa wanatafuta mtu wa kuzaa naye na kuwa single M.
 
Acha kupotosha. Mpaka sasa wanaume ndio tunaongoza kwa kuwa wengi katika huu ulimwengu

World population (live)
7,687,460,546 Current population
3,877,615,323
Current male population
(50.4%)
3,809,845,223
Current female population
(49.6%)
30,138,010 Births this year
268,474 Births today
11,786,542 Deaths this year
104,996 Deaths toda
 
😀😀😀😀,Huwezi kuwa adui kwa kusema ukweli!!
 
Kuna eneo fulani wanawake waliandamana kutaka waolewe;pia wanawake wanaongoza ktk vikundi vya maombi ya kuombea wachumba;waliojikatia tamaa wanatafuta mtu wa kuzaa naye na kuwa single M.
E bwana unaweza nielekeza hvyo vikundi wanafanyia wapi//?? maana natafta mlokole wa kuzaa naye
 
Mbona mashoga hawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walio jera, walio oa, walio na upunguf wa nguvu za kiume, mashoga... Ukitoa unabakiwa na wanaume wangapi sasa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisaa!Kunywa kinywaji upendacho mkuu,nakuja kulipia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake endeleeni kukaza kwan kat yenu hao bilion tano


1.bilion 2...watoto

2.million 500 masister wa kiroma

3.millin 100 wapo jela

4.wengine ndugu zako

5.asilimia 20 wasagaji

6.asilimia 5 wazee

7.asilimia 15 hawana hamu ya mapenzi

8.asimia 17 wapo kwenye ndoa za mitala kikabila na kidin mfano waislamu

9.sababu zinginezo nashindwa kuelezea

NB:ENDELEENI KUKAZA


I AM SINA JAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…