AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 699
- 1,144
ISIDINGO...Ndio maana rate ya talaka imeongezeka;ukishaolewa mama anakua hayupo then kifuatacho Itv

Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa. Pia wanaume wanapenda sana kuoa. Ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu.
Ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa na sio mwanamke.
Endapo wewe mwanamke uko na mpenzi wako na unataka akuoe cha kufanya ni CHEZA NA MAMA YAKE. HAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KARIBU NA MAMA YAKE KWA KUWA RAFIKI YAKE. MAMA YAKE AKIKUKUBALI, ASILIMIA KUBWA UMEMALIZA KAZI.
Muda unajizoesha kwa mama yake ni matumaini yangu baina yenu mnajuana tayari vizuri.

Kama mnajuana hamna haja ya third part kufanikisha ndoa;Mtu anaye force hivyo hamjui huyo mwanaume ndio anatafuta mbinu mbadalaNdio maana nimesema nyie mnakuwa mmeshajuana, that extra push cheza na mama yake atalainika.
Sio rahis sanatakupeleka
Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa. Pia wanaume wanapenda sana kuoa. Ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu.
Ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa na sio mwanamke.
Endapo wewe mwanamke uko na mpenzi wako na unataka akuoe cha kufanya ni CHEZA NA MAMA YAKE. HAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KARIBU NA MAMA YAKE KWA KUWA RAFIKI YAKE. MAMA YAKE AKIKUKUBALI, ASILIMIA KUBWA UMEMALIZA KAZI.
Muda unajizoesha kwa mama yake ni matumaini yangu baina yenu mnajuana tayari vizuri.
Sawa Kiongozi Wengi Wamenitapeli kupitia yy nakutumia [emoji23]Naomba namba ya Bi Mkubwa ndugu yangu, nina shida na mkopo.
hehee .. ... nitakutafutaAfu nawewe tangu umepata mbebe basi ndo sinywi maji mfyuu kwenda huko
Hicho kicheko..mmmmhhehee .. ... nitakutafuta
Kimefanyaje ""!?Hicho kicheko..mmmmh
Haya unitafute
Kizuri...heheeKimefanyaje ""!?
Lol usiniamshe mahanjam " nikajikuta na kimiss kiporoKizuri...hehee
Ni vigumu kumpeleka kama huna plan ya kumuoaatakupeleka
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]kiporo???Lol usiniamshe mahanjam " nikajikuta na kimiss kiporo
He! Nimejikuta nacheka kwa sautiCC: Hamisa Mobetto, Wema Sepetu......hapa ni kuroga tu Mama wakwe, hakuna lingine.