Wanawake, ukitaka mwanaume akuoe fanya hii kitu

Wanawake, ukitaka mwanaume akuoe fanya hii kitu

Kwahiyo tuanze kuiba namba za simu za mama wakwe zetu au sio....[emoji16]
 
Duh nimeshikwa kweli kwel dah huyu mtoto had mama angu kaamishia mapenz kwake nasubiri mwsho wa picha nione had kwenda hme cpend sasa wanataka ndoa 2.
 
Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa. Pia wanaume wanapenda sana kuoa. Ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu.
Ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa na sio mwanamke.
Endapo wewe mwanamke uko na mpenzi wako na unataka akuoe cha kufanya ni CHEZA NA MAMA YAKE. HAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KARIBU NA MAMA YAKE KWA KUWA RAFIKI YAKE. MAMA YAKE AKIKUKUBALI, ASILIMIA KUBWA UMEMALIZA KAZI.

Muda unajizoesha kwa mama yake ni matumaini yangu baina yenu mnajuana tayari vizuri.


Huu ushauri una ukweli lakini una mapungufu fulani. Uzuri wake ni ukweli kuwa kila mtu awe mwanamke au mwanaume, aliye makini, angependa watu wake wa karibu,mfano, wazazi, ndugu n.k wapendwe na mwenza wake. Hili halina mjadala ninadhani. Upungufu wa hoja yako ni kwamba haimfundishi mtu kuwa muungwana au mkweli, ni kwamba anaweza kutumia hila mradi aweze kupata mume. Sioni kama imeonya suala la udanganyifu, umelenga kuolewa tu. Hii ni hatari.
 
We wadanganye tu wenzio, nna mmoja huyo hatuna hata mwezi, anavyokomaa awajue ndugu zangu! Mi namuangalia tu
 
Huu ushauri una ukweli lakini una mapungufu fulani. Uzuri wake ni kuw ana ukweli kuwa kila mtu awe mwanamke au mwanaume, aliye makini, angependa watu wake wa karibu,mfano, wazazi, ndugu n.k wapendwe na mwenza wake. Hili halina mjadala ninadhani. Upungufu wa hoja yako ni kwamba haimfundishi mtu kuwa muungwana au mkweli, ni kwamba anaweza kutumia hila mradi aweze kupata mume. Sioni kama imeonya suala la udanganyifu, umelenga kuolewa tu. Hii ni hatari.
Ila si amesema wao wenyewe wanakuwa wameshajuana na kutosha?
 
Ila si amesema wao wenyewe wanakuwa wameshajuana na kutosha?


Ila si amesema wao wenyewe wanakuwa wameshajuana na kutosha?

Hii kauli ina ukakasi kidogo (japo si lazima kila mtu aitafsiri nionavyo mimi)

"CHEZA NA MAMA YAKE. HAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KARIBU NA MAMA YAKE KWA KUWA RAFIKI YAKE. MAMA YAKE AKIKUKUBALI, ASILIMIA KUBWA UMEMALIZA KAZI".

Ninaona ni hatari maana inasisitiza kupata jambo fulani kuliko upendo halisi.
 
Back
Top Bottom