Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,185
- 27,098
Huo u soulmate mmeanza lin na mother confeser??nitakwambia inbobo soul mate
Huo u soulmate mmeanza lin na mother confeser??nitakwambia inbobo soul mate
Wakat utaonyeshwa tu siku ya kutambulishwa au kama yuko mkoan umfuate ukacheze nae aarghHapa ndipo shughuli ilipo
Utanitag akikujibu.Uyo mama yake utamjulia wap
Ok ngoja tusubir jibuUtanitag akikujibu.
Sasa kama yatima,.utaenda kucheza na nani,.vilembwe???
Jamani Inna.....Uyo mama yake utamjulia wap
Abee mwifwaJamani Inna.....
hahaa zed hapindui kwa seeker .. so seeker mwenyew nipo hapa" Atafuata shurti tuhuko unaenda kumlisha uongo mama confessor Zeddcuz Zorro Zorranda atakasirika aaah
Na ndivo ilivyo kwa wnaume wengi mpk akuruhusu kuongea na mama lazima ume qualify sana na ana mipango na wwBefore you even talk to my mom on the phone, kuna barriers kama 50 ambazo itabidi uzivuke!
So, hakuna shortcut. Ni mimi na wewe tu, kama ipo basi ipo. Na kama haipo hata ukishinda unamuosha miguu mamaangu utapoteza muda tu!
Yani humjui mama mkwe lakini unamatumaini ya kuolewa na mwanae?Uyo mama yake utamjulia wap
Lol .. mbona kama wadau mnapinga hivi hahaa.. kwani kuna mtu Kaibiwa ''... ?Huo u soulmate mmeanza lin na mother confeser??
Soma comment ya KANA apo juuYani humjui mama mkwe lakini unamatumaini ya kuolewa na mwanae?
haujafa kabisahahaa sinilisema udugu umekufa "...
Ukitaka usife nadhani wajua chakufanyahaujafa kabisa