Wanawake, ukitaka mwanaume akuoe fanya hii kitu

Wanawake, ukitaka mwanaume akuoe fanya hii kitu

Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa. Pia wanaume wanapenda sana kuoa. Ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu.
Ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa na sio mwanamke.
Endapo wewe mwanamke uko na mpenzi wako na unataka akuoe cha kufanya ni CHEZA NA MAMA YAKE. HAKIKISHA UNAKUWA MTU WA KARIBU NA MAMA YAKE KWA KUWA RAFIKI YAKE. MAMA YAKE AKIKUKUBALI, ASILIMIA KUBWA UMEMALIZA KAZI.

Muda unajizoesha kwa mama yake ni matumaini yangu baina yenu mnajuana tayari vizuri.
Mama yake ndio utaolewa nope wewe kuwa na more than one na hapo lazima mmoja atakuoa ila kwa mama mkwe unajidanganya.
Kabisa kwa maana mama amekupenda ila sio msela hajakuafiki ni ucheze na yeye tu mpaka kieleweke ila kuolewa uolewe kisa uko kwao kama punda unatumikishwa na bi mkubwa nope.
Unajidanganya.??
 
Back
Top Bottom