Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

kama una namba yake mpigie au mwalike mahali mchane kuwa unampenda mambo ya kuanza kujichekesha wenzio watambita mbele kama gari la porisi we zid kutafuta mbinu maisha yenyewe yanatia wazimu wa kutafuta mbinu kuyashinda halafu mambo ya upendo nayo unataka mbinu acheni kuwa wazembe kaa sembe shaurien vitu hvi huwa havijiriwind kama samaki ohhh
 
Mi nilimpenda Dr mmoja

Love at first sight....nilienda kupata tiba....nilihangaika ile siku kwa kweli....nikafanya Mambo mpaka nikapata namba yake, nikaanza salamu za kila mara, akawa anajibu vizuri.....nimejipendekeza kwa salamu kila siku na pole kwa kazi nyingiii, nikienda hospital akawa anaonyesha kuitikia wito, nikaomba date nae alisema akipata nafasi atanambia...lakini ni zaidi ya mwaka hatujakutana....ila alionyesha interest kabisaa ya kunipendapenda....ila anasitasita.....sijui ni mwoga.

Nimeshampelekea zawadi ya peni ili awe anandikia kwenye kazi yake na keki niliyopika kwa mkono wangu.


Yaani nimetuma sms mpaka nimechoka sasa naona kama namboa....nimejipa moyo konde maisha yaendelee tu....ana view status zangu hata ziwe nyingi.


Nipo hapa nami najifunza maujanja nimuanzie tena.
Pole dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, sio kosa kabisa. Kosa ni kutongoza au kujitongozesha... Utaishia kudharaulika tu au kuliwa kimasihara, there is no way mwanaume anaweza kuwa anakupenda na asikutongoze.... bahati mbaya ukianza wewe hatokataa ni wanaume wachache sana wanaweza kukataa papuchi iliyojileta

Sasa ukimpenda unabaki unaumia tu?

Kwani hujaonaga wanaume wanatongoza lakini akakutumia tu.

Hizo ni risk tu za maisha.

Yupo mwanaume alitongozwa na wapo kwenye ndoa mpaka leo.

Mi naona Kama umependa you try to ukitolewa nje yote maisha tu...
 
Hapana dear unaweza kumpenda yeyote, kwa mfano mke wa potifa alimpenda house boy wake Yusufu akaonyesha hisia kali za mapenzi kwa huyo dogo, shida ilikuja kwa Yusufu kuwa na hofu kwa Mungu hivyo alimkatalia huyo bi dada.

But siku moja mke wa Potifa nyege zilimshinda hivyo akamwekea mtego ili aje bedroom kama house boy kazini kijana akatinga bedroom akamkata bidada kama alivyozaliwa yaani naked kabisa, huyo bidada akamwambia Yusufu leo nimekupata lazima unitonbe!

Yusufu akasema hapana lady siwezi but bidada akamshika kwa nguvu ili aondolewe nyege ila Yusufu alikataa katakata lady akamshika kwa nguvu na kuanza kumvua nguo Yusufu bahat mbaya kwa lady ilikuwa ni hii hakuwa na nguvu za kumdhibiti huyo Yusufu hivyo Yusufu aliponyoka mikononi mwa lady huku kanzu ya Yusufu ikibaki mikononi mwa lady Yusufu akatoka nduki akiwa hana vazi.

Ni story ya mwanamke kumpenda mwanaume asiyependeka ipo ndani ya Bible.

Kuna vidume havipendeki dear ila unaweza kijaribu haujakatazwa
Sasa ushasema mke wa potifa!!!
Mke wa mtu unapendaje mwingine?
Hebu toa mfano mwingine bwana wee
 
Sio kosa, you misunderstood me dear, hata kumtongoza sio kosa ila the way he will take it inaweza kumfanya mwanamke akajiona hana thamani, na ndio maana hata muoaji ni mwanaume sio mwanamke kwa maana ya kwamba he is the proposer
Wapo wengine wanaelewa na akakupenda vizuri tu.

Mi naona kama umependa haina ubaya kutake risk...hata wanaume huwa wanakataliwa....kukatatiliwa sio sababu ya kujiona huna thamani
 
Habari?

Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?

Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?

Asante.
Sasa Nakuja mbinu moja ya kijana I ila iko clasic. Mwombe akurekebishie Taa ya chumbani na kusogezankitanda wakati anafanya hayo we msaidie huku ukiwa umetupia kanga moko UMKARIMU NA JAPO JUICE Mbuzi lazima afie kwa mwuza SUPU ACHA UFALA CHAMNGAMKA WE INAONEKANA SI WA USWAZI
 
Mi nilimpenda Dr mmoja

Love at first sight....nilienda kupata tiba....nilihangaika ile siku kwa kweli....nikafanya Mambo mpaka nikapata namba yake, nikaanza salamu za kila mara, akawa anajibu vizuri.....nimejipendekeza kwa salamu kila siku na pole kwa kazi nyingiii, nikienda hospital akawa anaonyesha kuitikia wito, nikaomba date nae alisema akipata nafasi atanambia...lakini ni zaidi ya mwaka hatujakutana....ila alionyesha interest kabisaa ya kunipendapenda....ila anasitasita.....sijui ni mwoga.

Nimeshampelekea zawadi ya peni ili awe anandikia kwenye kazi yake na keki niliyopika kwa mkono wangu.


Yaani nimetuma sms mpaka nimechoka sasa naona kama namboa....nimejipa moyo konde maisha yaendelee tu....ana view status zangu hata ziwe nyingi.


Nipo hapa nami najifunza maujanja nimuanzie tena.

Hana interest na wewe usipoteze mda
Mwaka mzima? Mwingine si mngekuwa mshazaa na katoto?
 
Kama unapendwa utatongozwa, sasa mwanaume hata time na wewe hana unataka umtongoze

Jiamini mamii atatokea atakayevutiwa na wewe wala hutakua na haja ya kutumia nguvu kujitongozesha

Imagine ukamtongoza halafu akakutaa hivi unadhani atakuchujukiaje, urakua umejidharaulisha na kujishushia heshima sana

Nature ya mwanamke ni kutongozwa sio kutongoza

Zawadi yako inakuja PM
 
Hahaha mkuu haujawahi kuona mahusiano ambayo mume anajielewa ila mke kimeo au mke anajielewa ila mume kimeo?

Tena nadhani mahusiano ya aina hii ndiyo yako mengi sana kwa dunia ya sasa hivyo siyo kila mtu humpata wa kufanana naye!

Opposite attracts...
 
Ama kweli malipo ni hapa hapa dunini.

Sijui upekee wa hoyo mwanaume kwako ni nini?
Ni vigezo gani umetumia kumpa chaguo la kwanza.?

Nahis kuna mwamba anakuelewa kinoma, na anakufukuzia.. lakini unam ignore kwa sababu ya kijangaa kabisa.

Duuu

Malipo tena...!!!!! Yes huwezi kosa anayekupenda but mtima wako unaona haujigusi

It just happened tu nilijikuta nampenda tu toka nilivomtia machoni.....kuna siku akapiga simu....nilitetemeka sana....ha ha ha ha

Kuna siku akatuma sms.....nilivoona jina lake.....nilirukaruka, nikajigaraza kitandani bila kuisoma.....ha ha ha ha ha ha ha.
 
Englishlady
Kuna quote nilikuquote sijui imekuwaje comment yangu imekuja pekeyake.

Anaweza akakukubali lakini hayo mahusiano mtakayoanzisha wewe ndiye utapata shida..
Anaweza fanya chochote na anajua kabisa unampenda Sana huwezi kumuacha.
Mahusiano yatakuwa ya upande mmoja..he will take you for granted,
You will never enjoy such kind of relationship trust me.
Utakuwa mtumwa wa hayo mahusiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Englishlady
Dada Hakuna mtu yupo bize kwenye mapenzi,hayupo hata mmoja.

Hakupi hata dk moja,ukiona mtu Yuko hivyo ujue wewe haupo katika vipaumbele vyake.

Madaktari pamoja na ratiba yao ngumu lakini huwa wanapata japo kimuda Cha kwenda kunywa chai hata dk 5.
Last month nimeenda hsp,dokta alikuwa ametingwa Sana Yule,nimerudi kuchukua majibu yangu mule ofisini kwake alitumia dk 1 tu kuongea na mpenzi wake ile romantic call only for a minute.

Sasa hiyo Ni kazini tu,kuna muda anarudi nyumbani..analala,anaamka,unataka kunambia hana muda kabisa wa kukutext au kukupigia?

Yaani hakuna mtu Yuko busy hii dunia hasa katika swala la mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi naona wadad mpo siti za mbele kabisa mkiwa na notebook zenu.
Mkifanikiwa msisahau kumshukuru mleta uzi kawaokoa
 
Back
Top Bottom