Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,565
- 88,576
Haha halafu mie wala siyo mfuatiliaji wa ule uzi na wala sijawahi kuupendaAisee uzipendwa kumbe unafundisha sana
Haha halafu mie wala siyo mfuatiliaji wa ule uzi na wala sijawahi kuupendaAisee uzipendwa kumbe unafundisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki aliyekuroga hana hurumaHebu njoo kwangu mi sikuli kimasiahara...Tutaimba kwaya tu all days [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumshukuru mungu.
Hivi kumbe ni kosa kumpenda mwanaume?
Daaaa
Ni bora afanye huo ujinga wake akiwa yeye ndiye aliyenianza na si mimi ndiye niliyemuanza [emoji21][emoji21] afrika bado sana mwanaume kumheshimu mwanamke anayetongozaTunafahamu mengi mabaya, madhambi wanayokua nayo wanaume.
Hata usipo jionyesha, mafisi wanatongoza tu.
Ulipewa akili za nini??
Ndo uzitumie kujua mwanaume asie na tabia mbovu ni yupi.
Hivi kumbe ni kosa kumpenda mwanaume?
Daaaa
AmenHapana, sio kosa kabisa. Kosa ni kutongoza au kujitongozesha... Utaishia kudharaulika tu au kuliwa kimasihara, there is no way mwanaume anaweza kuwa anakupenda na asikutongoze.... bahati mbaya ukianza wewe hatokataa ni wanaume wachache sana wanaweza kukataa papuchi iliyojileta
Hapana, sio kosa kabisa. Kosa ni kutongoza au kujitongozesha... Utaishia kudharaulika tu au kuliwa kimasihara, there is no way mwanaume anaweza kuwa anakupenda na asikutongoze.... bahati mbaya ukianza wewe hatokataa ni wanaume wachache sana wanaweza kukataa papuchi iliyojileta
Tupo mbona.Ni bora afanye huo ujinga wake akiwa yeye ndiye aliyenianza na si mimi ndiye niliyemuanza [emoji21][emoji21] afrika bado sana mwanaume kumheshimu mwanamke anayetongoza
After all kwani dunia ya leo yupo mwanaume ambaye siyo fisi [emoji2368][emoji2368] y'all are just the same
Ama kweli malipo ni hapa hapa dunini.Mi nilimpenda Dr mmoja
Love at first sight....nilienda kupata tiba....nilihangaika ile siku kwa kweli....nikafanya Mambo mpaka nikapata namba yake, nikaanza salamu za kila mara, akawa anajibu vizuri.....nimejipendekeza kwa salamu kila siku na pole kwa kazi nyingiii, nikienda hospital akawa anaonyesha kuitikia wito, nikaomba date nae alisema akipata nafasi atanambia...lakini ni zaidi ya mwaka hatujakutana....ila alionyesha interest kabisaa ya kunipendapenda....ila anasitasita.....sijui ni mwoga.
Nimeshampelekea zawadi ya peni ili awe anandikia kwenye kazi yake na keki niliyopika kwa mkono wangu.
Yaani nimetuma sms mpaka nimechoka sasa naona kama namboa....nimejipa moyo konde maisha yaendelee tu....ana view status zangu hata ziwe nyingi.
Nipo hapa nami najifunza maujanja nimuanzie tena.
NotedMimi nifuate tu....
Ukifikiri Kiranga ni mtu wa jioni kisomo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilisoma bila kuangalia ID nilipomaliza imebidi niangalie salaleee kumbe Kiranga.... Hivi Kiranga una mke/ mpenzi?
Haha we kiboko. Nataka nijue tu, mke wa kukuoza we Kiranga mimi nitamtoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nataka tu nijue maana nafikiria atakuwa mwanamke wa namna ganiUkifikiri Kiranga ni mtu wa jioni kisomo.
Halafu Jumamosi ukamkuta ngomani Chanika anavyoselebuka katika ngoma ya Wazaramo kumtoa mwali.
Utashangaa kupita ya Musa na Firauni.
Unauliza kama nina mke au mpenzi unataka kunioza?
Hahaha mkuu haujawahi kuona mahusiano ambayo mume anajielewa ila mke kimeo au mke anajielewa ila mume kimeo?Tupo mbona.
mwenye haki humjua mwenye haki mwenzie,
Mwenye akili humjua mwenye akili mwenzie,
I mean..
Husband material humjua wife material.
So, ni mtihani wako kumjua ataekufaa ni yupi.
[emoji57]mweehTupo wagumu wew, usituchulie hivo..
Dah!Kuna jirani hapa anatishia kujinyonga!
Mi hata sina shida nae ajinyonge tu kwani mi nimemwambie nataka aliepigwa pasi..[emoji41]
Labda na hao wengine ndo wanafanyaga hivi ngoja tuwasubiri watete lkn huyu kama amezamilia kujiua na ajiue tu.. heri lawama kuliko fedhea..[emoji23]
😜😅Dah!
Habari?
Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?
Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?
Asante.