Wanawake wasema tunaua au tutawaua wanaume ambao wanatembea na mabinti zao

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kutokana na mmomonyoko wa maadili kwenye jamii baadhi ya wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wamama kisha anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti wa mama

Swali je wewe mama ukigundua na kupata uthibitisho usiyo na shaka kuwa mpenzi wako pia anatembea na binti yako wa kumzaa unafanyaje?

Nilihoji wanawake 10 wanaouza mbogamboga sokoni na majibu yakawa hivi

1, Wanawake 7 walisema" Namuua mwanaume kwa njia yoyote ile,na nikijua anatembea na binti yangu najifanya kuongeza mahusiano yangu kwake zaidi ili nimuue kirahisi"Alimaliza kusema mama mmoja

2, Wanawake 2 walisema "Wao watavunja mahusiano na pia atamwambia binti yake alichokifanya hakina maadili na binti mwenyewe aone aibu kama itapendeza kuendeleza mahusiano hayo"

3,Mwanamke 1 yeye alisema atavunja mahusiano na atamwachia binti yake aendelee naye basi

Kwa hali hii kuna vifo kumbe vinatokea kimya kimya kwa wanaume tukidhani ni vya kawaida kumbe ni vya kutengenezwa

Wanaume take care
 
Hao ni wanawake wauza mboga mboga.

Tafuta sampling nyingine kama wamiliki wa salon, mabosi na wauza kuku
 
Kutokana na mmomonyoko wa maadili kwenye jamii baadhi ya wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wamama kisha anakuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti wa mama

Swali je wewe mama ukigundua na kupata uthibitisho usiyo na shaka kuwa mpenzi wako pia anatembea na binti yako wa kumzaa unafanyaje?

Nilihoji wanawake 10 wanaouza mbogamboga sokoni na majibu yakawa hivi

1, Wanawake 7 walisema" Namuua mwanaume kwa njia yoyote ile,na nikijua anatembea na binti yangu najifanya kuongeza mahusiano yangu kwake zaidi ili nimuue kirahisi"

Kwa hali hii kuna vifo kumbe vinatokea kimya kimya kwa wanaume tukidhani ni vya kawaida kumbe ni vya kutengenezwa

Wanaume take care

KWA SABABU HII NA NYINGINE NYINGI, SIKUOA MLALA HOI 'Kumamamake'. Mchepuko mlala hoi pita kushoto.

Masikini wana ROHO MBAYA 'kisenge'.
 
Back
Top Bottom