Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Halafu kesho wanaanzisha thread oooh natafuta husband material wakati wao wenyewe sio wife material

Halafu wanaume hawapendi mwanamke ambae sio humble, hawaopendi kutawaliwa maana wameumbwa kuwa watawala
Ohooooo i feel you kabisa..[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji28][emoji28][emoji28]kuna watu kupitia huu mwandiko wanatamani kutumeza[emoji3][emoji3]wanahisi bado tuko karne ya 18 [emoji1787][emoji1787]
 
Halafu kesho wanaanzisha thread oooh natafuta husband material wakati wao wenyewe sio wife material

Halafu wanaume hawapendi mwanamke ambae sio humble, hawaopendi kutawaliwa maana wameumbwa kuwa watawala
Yani utandawazi unazidi kuharibu vizazi jmni tuzidi kuomba rehema haki tena tunakoelekea ni kubaya zaidi.

Wanaume na wenyewe saa ingine sijui wanakuwajee?nao pia wanavutika na hayo mafake fake kwa wanawake.

Waaaaaaahiiiiiii..






Mwisho wa siku mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume FULLSTOP
 
Nakazia hapa
Yani utandawazi unazidi kuharibu vizazi jmni tuzidi kuomba rehema haki tena tunakoelekea ni kubaya zaidi.

Wanaume na wenyewe saa ingine sijui wanakuwajee?nao pia wanavutika na hayo mafake fake kwa wanawake.

Waaaaaaahiiiiiii..






Mwisho wa siku mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume FULLSTOP
 
Mwambie una shida na mkope hata elfu 50, kisha uwe mwaminifu kumpa updates lini utampa just kuwa naye karibu, ukianza kilipa lipa kidogo kidogo, just kumkeep around you.

Hakuna mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mkarimu na mwaminifu.
Daaaa kumbe basi mie nishaanza kutafutwa yaan nimefanyiwa hivo nusu saa iliyopita kasema atakuwa ananipa kidogokidogo
 
When it comes to Men
Always follow the rules

ikiwemo;
Usishoboke kwanza...let him do that..aseme yeye kwanza

Shaurilo we jilipue afu aje aseme mwanamke mwenyewe alinitongoza mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mmoja alininunulia msosi njiani tulikuwa tunasafiri,, mwisho wa safari ikabidi nichukue # tu,

[emoji395]
Daaa hata ningekua mim ningefanya hivo, hata kama sina nia nae ningefanya hivo, na yeye apate furaha for a moment tu.
 
Habari?

Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza? Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?

Asante.
UKIFIKIA HAYO MAPENDO MAKUBWA UJUE UMEFIKIA UCHUMI WA KATI
 
Angalia asije kula kimasihara akakuacha, nahisi utaumia sana
Ha ha ha ha

Kwani ukimpenda mtu, utakuwa unataka ndoa??

Ha ha ha ha

Hata kuliwa nako kunatosha sana.

Sijui kwanini watu mnawasaga ndoa tu wakati naona kulana ndio kumeshika hatamu kwa wenye ndoa na wasio ndoa, na wanafunzi, wana chuo

Dunia hii imejaa unafiki sana
 
Inabidi uwe na moyo wa kiume kufanya hivyo, mimi nina aibu hata kumwangalia mwanaume mara mbiki mbili siwezi khaa

By the way hata akikukubali hatakuheshimu utaishia kukiwa kimasikhara na kuachwa

Sio kweli

Ni wrong belief tu ya watu.

Wanaume wanatongozwa na relationship zinadumu na nyingine zimeingia kwenye ndoa.

Si rahisi kwa mdada kutongoza kavukavu ila vitendotendo vitamwonyesha tu kuwa unahisia nae.
 
Huo ni mtazamo wangu tu mwisho wa siku maisha yako ni vile wewe umeamua yawe. Kwa upande wangu mimi siwezi kutongoza mwanaume, kwa sababu kama ananipenda angenitongoza kwa vile hajanitongoza maana yake hajanipenda.
Unaweza ikawa hampo karibu nae

Mfano mi huyu tulikutana huko hospital atakuwa na muda gani wa kunitongoza hata kuniwaza tu....ana wataje Kama wote.
 
Hujaelewa nilichoandika!Nazungumzia mila kumgandamiza mwanamke na wakati huohuo hiyo mila kupendwa na kulindwa kwa nguvu zote na mwanamke huyohuyo
Mfano hii ya kutongoza

Wanawake karibia wote humu wanaona sawa kukaa na maumivu yao ya kupenda bila kuvunja ukimya.....yaani mwanamke akitongoza basi mwanamke mwenzake ndio atamshangaa na kumpa maneno ya hovyo.
 
Back
Top Bottom