Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Inabidi uwe na moyo wa kiume kufanya hivyo, mimi nina aibu hata kumwangalia mwanaume mara mbiki mbili siwezi khaa

By the way hata akikukubali hatakuheshimu utaishia kukiwa kimasikhara na kuachwa
Wapo wengine wanaelewa na akakupenda vizuri tu.

Mi naona kama umependa haina ubaya kutake risk...hata wanaume huwa wanakataliwa....kukatatiliwa sio sababu ya kujiona huna thamani
 
Angalia asije kula kimasihara akakuacha, nahisi utaumia sana
Jamani The Boss

Mbona unanikatisha tamaa.

Najipa moyo yuko bize sana....anawateja wengi mnoo...anafanya kazi hadi jumapili usiku
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mmefanikiwa kupinga mila na tamaduni mbaya dhidi ya mwanamke kama vile ukeketaji,mwanamke kunyimwa haki ya kusoma,mwanamke kunyimwa haki ya kuwa kiongozi,mwanamke kuolewa kwa nguvu,mwanamke kuolewa akiwa mdogo na kadhalika na sasa hivi mpo kwenye vita ya haki sawa
Haki sawa mwanamke na mwanaume haiwezekani.mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki pia kuwa mwanaume.

Ingawa najua nitapingwa na wanawake humu lkni huu ndo ukweli.

Nyumba nyingi zenye haki sawa hazina amani😶
 
You are right, ila maisha yawe matamu ni lazima mwanamke abaki kwenye nature yake kama mwanamke na Mwanaume kama mtawala

Sasa ikifika mahali na sisi tunataka kuyongoza dunia sijui itakuaje
Haki sawa mwanamke na mwanaume haiwezekani.mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki pia kuwa mwanaume.

Ingawa najua nitapingwa na wanawake humu lkni huu ndo ukweli.

Nyumba nyingi zenye haki sawa hazina amani[emoji55]
 
  • Thanks
Reactions: amu
You are right, ila maisha yawe matamu ni lazima mwanamke abaki kwenye nature yake kama mwanamke na Mwanaume kama mtawala

Sasa ikifika mahali na sisi tunataka kuyongoza dunia sijui itakuaje
Umeonaee..😊😊😊😊

Maisha ni matamu sana ukiona ubavu wako ndie kichwa cha nyumba/familia yani mwanaume ohooooooooo unafeel the love🧚‍♀️🧚‍♀️

Wanawake tukubali tukatae asili yetu si kuwa sawa na mwanaume.
 
Haki sawa mwanamke na mwanaume haiwezekani.mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki pia kuwa mwanaume.

Ingawa najua nitapingwa na wanawake humu lkni huu ndo ukweli.

Nyumba nyingi zenye haki sawa hazina amani😶
Nilijua mmeisha kumbe bado mpo👍
 
Mnoo, ndio maana hata ukiwa ane you feel safe, protected, yani ile tu anakuweka mbele all the time, watching you, taking care of you makes us feel like we are complete in all ways
Umeonaee..[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Maisha ni matamu sana ukiona ubavu wako ndie kichwa cha nyumba/familia yani mwanaume ohooooooooo unafeel the love[emoji3344][emoji3344]

Wanawake tukubali tukatae asili yetu si kuwa sawa na mwanaume.
 
Mwanaume unaanzaje kumla kimasihara.
Unamfanya vipi hadi muingie faragha?

umewahi kuiangalia movie aliyocheza eddie murphy na Grace jones ? kama bado nenda youtube utakuta kipande Grace anamuomba mapenzi Eddie murphy. ni ya miaka ya 80
 
Mnoo, ndio maana hata ukiwa ane you feel safe, protected, yani ile tu anakuweka mbele all the time, watching you, taking care of you makes us feel like we are complete in all ways

Ohooooo i feel you kabisa..😊😊😊😊😊😊
😅😅😅kuna watu kupitia huu mwandiko wanatamani kutumeza😀😀wanahisi bado tuko karne ya 18 🤣🤣
 
Mwambie una shida na mkope hata elfu 50, kisha uwe mwaminifu kumpa updates lini utampa just kuwa naye karibu, ukianza kilipa lipa kidogo kidogo, just kumkeep around you.

Hakuna mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mkarimu na mwaminifu.

mkuu nimependa hitimisho lako
 
Back
Top Bottom