Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

Michezo, vikoba na mikopo zinawapa stress kukojoa watakojoa vipi, wakati wa tendo mawazo yanamuwaza kijumbe,mwenyekiti wa vikoba na watu wa mikopo.
 
Mimi naona wanawake wajieleze wenyewe kuhusu hili swala, ukiwasemea sijui wanakojoa mara 4 sijui wanakojoa vipi unatujengea maswali mengi hasa kuhusu evidence. Wewe unewah experience wapi na kivipi?
 
Mimi naona wanawake wajieleze wenyewe kuhusu hili swala, ukiwasemea sijui wanakojoa mara 4 sijui wanakojoa vipi unatujengea maswali mengi hasa kuhusu evidence. Wewe unewah experience wapi na kivipi?
I a medical doctor for over 10 years now,medicine,physiology,anatomy,and psychology are what i deal with daily.

Labda kama hukwenda shule,na hata kama ulikwenda basi biolojia ilikupita kushoto.
 
Mwili wa binaadamu upo tofauti kwa kila mtu hata kama mmezaliwa baba mmoja na mama mmoja.

Kuna wanawake jino moja na wengine mpaka mkongo na pia kuna wanaume TACKLE tatu wngine OLD Trafford Dakika 90 ,Kuna wanaume Mandingo na wengine AliKIBA ,Kuna wanawake Suez Canal wengine AMBONI ,kwahiyo tutafute tunaoendana nao.
 
Kwani mwanamke usipokojoa Kuna shido?

Seran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…