Wanawake tunapenda wanaume wenye pesa na gari

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.

Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe, kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie Tabata huko.

Baby nahitaji laki 2 ya kusuka, imekuja. Baby nataka hela ya kucha na kagauni kazuri nimekaona Mlimani City. Yaani raha ya Dunia hii upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu maana mapenzi hata ngamia na njia anayo, bali atimize majukumu yako yote.

Kiukweli mwanaume tafuta hela siyo doggy style, kifo cha mende hata kwa mama kibonge au kwa lulenge utapewa.

Nimemaliza
 
Mnatutenga sana..
Sijapenda🥺🥺🥺🥺
 
kwa utafiti wangu, huo ndio ukweli. vijana tutafute pesa. hawa viumbe ni wadhaifu sana kwa mtu mwenye gari na pesa.
 
Kipindi hicho baba yako hamiliki hata guta lakini unataka mwanaume mwenye gari.

Nyumba uliyozaliwa ni ya makuti na mpaka leo ipo hivyo hivyo halafu unatarajia kijana wa watu ndio aje kuwa mkombozi wa ufukara wenu.

Unabana pua kabisa anyipangie nyabata, pumbafu. Pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom