Oh Mammah! Tena nlivokumisi, hebu twende PM tukapange mikakati. Niimelimisi pozi lako mantashau.
we unakuaje, kielfu kumi chako si ukihifadhi tu asubuhi unywe mtori na chapati!!?, au piga Safari Lager zako za moto ukalale, MIMI KUTUZA NAMAANISHA HIVI HAPO CHINI:lol: sasa utaenda kuwatunza hao Fm academia na twanga kwa hayo maburungutu au utatoa elfu 10 tu?
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
Mi mbona huwa natembea! Na Msimbazi mfukoni! Tena za kutosha!na wale jamaa zangu mara dk mbili kachomoa wallet,mara nyingi unakuta wamejaza 5000,tano,za thamani ya 20000!tu,yote hayo ulioorodhesha hayaendani na khali halisi ya Mausiano!! Et mara mwenye maswal!,mkanda na viatu!,dada kuwa makini na mchanganuo wako utapata hasara!ati!!!
Mikono yake kama ni migumu ( it means he had hard childhood ), smile ( if he smiles with his mouth open he is a firecracker )!If he wears khaki trouser( he has a lot of money ) If he wears strong cologne he is desperate and too cheap ,If he pays for the food or drink (he is not just into you ) ,If he talks about his parents how rich they are( he is a looser) if he talks about his grandmother ( he is a keeper ) If he grew up in poor neighborhood than yours ( don't return a call he may be a criminal or user )
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
habari ndio hiyo........
Namba 7 na 8 zinaweza kuwa general; the rest of the list ni kwa wanawake wa mjini tu.
:lol: sasa utaenda kuwatunza hao Fm academia na twanga kwa hayo maburungutu au utatoa elfu 10 tu?
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........
Sasa wale waliopata zero mwaka huu sijui kama watakuja kuoa..
too much maelekezo these days...utasema mtihani wa necta...
kila siku mafunzo mapya...lol
-Uelewa wa mambo kutokana na maongezi
-uwezo wa kunisikiliza
-they way anavyoji-carry
-taking care kama kurefill my glass
-showing interest in the things l do
Etc
Mbona mie sina sifa na vigezo ulivovitaja laniki nawabadilisha kama boxer?