Bora hili limebainika mapema, nina mchumba wangu mkenya, sasa naona ni bye byeDah ila hii ilikuwaga kwa wanawake wa kimachame zaidi ila naona walishajirekebisha ........!
Kumbe kenya inaendelea tu loh loh loh................!
Dah ila hii ilikuwaga kwa wanawake wa kimachame zaidi ila naona walishajirekebisha ........!
Kumbe kenya inaendelea tu loh loh loh................!
Hii niliona katika taarifa ya habari jana usiku nikaishiwa nguvu "Wanawake roho mbaya tumezidisha jameni" sisemi kuwa wababa hawana roho mbaya la hasha ila ya wa Mama imezidi unaua mumeo kisa mali aggggrrrrrr
Jisomee mwenyewe uone Hapa chini
'I hired a gang to kill my husband' - YouTube
‘I hired gang to kill my husband’ - News - nation.co.ke
Kwa hisani ya Nation Media Group - Kenya
Hii kitu ni mashuhuri kwa baadhi ya makabila. tunalo moja hapa tz (jina kapuni) na liko moja huko kenya hilo ndio balaa kabisaaaaaa. sema na sisi wanaume tuna roho ngumu sana mpaka mtu yamkute binafsi, lakini bado tu tunawaowa tuuuu..
Hilo kabila linajulikana Kenya hata TZ linajulikana naona TZ wamepunguza siku hizi
Bora hili limebainika mapema, nina mchumba wangu mkenya, sasa naona ni bye bye
Hilo kabila linajulikana Kenya hata TZ linajulikana naona TZ wamepunguza siku hizi
Dena Amsi niliiona jana na mwanamke katoa pesa kibao ili mumewe auwawe
Dah hizo pesa si angefanyia maemdeleo aise kuliko kuwapa gang wamuuwe mumewe na wangekaa na mume hizo pesa zote si angefanyia maendeleo ya maana
Sasa ndo anaenda kuishia jela na mume anamkosa na hata kile alichokuwa anakipata kinaishia
Hata wanaume wanatumaliza kweli kweli, angalia hii mifano michache tu hapa chini,
- Mwandishi wa UNMISS amuua mkewe na kujiua.
- Mkazi mmoja wa Kijiji cha Idubula, katika Kata ya Karitu ,wilayani Nzega, Tabora, amemuua mkewe kwa kumkatakata kwa mapanga baada ya ............
- Mwanajeshi amuua mkewe ................
- Amuua mkewe wakigombea kandambili. Alhamisi, Februari 14, 2013 05:27 Na Dorothy Chagula, Musoma ........
- Mume amuua mkewe kinyama. *Amchoma kisu kifuani, akimbilia polisi. Na Masau Bwire MKAZI wa Temeke Mikoroshini Dar es Salaam ...........