Nyie mnatafuta kwa jasho ili mtupe sisi tuwazalie kwa uchungu ila mkitupa mnatusimanga kama mmetupa pumzi vilepoleni wanawake ila mliambiwa mtazaa kwa uchungu mlidhani Mungu anatania, hata sisi huku tunavyotafuta tunatafuta kwa jasho kweli kweli mle, mpendeze mfurahi na kuzaa pia.
Asante mkuuPoleni sana wanawake..
Kubalini basi tuzae mmoja tu, nyie si ndo mnapendaga timu ya football?Pamoja na yote mnayoyasema uchungu sijui maumivu mwisho wa siku unakuta mwanamke anasema ohoo nina hamu na mtoto mchango. Ukweli kama wanaume tungekua tunaenda jando mara mbili ningefikiria sana kurudi Jando. Sio jando la hospital hili la kwetu huku Mara.
Usiogope yaan ukiwa na hio hali hata mtu akutishie vp unaona kawaida tu..Mungu anatisha jamaniYan nimepitia comment zote nimeogopa ndo najiandaa kwenda kushika ujauzito wa jr ooooh jaman nimesisimka mwili kabisaaa
Sio sisi hata nyinyi pia juzijuzi wife kanianzishia ohhoo nina hamu na mtoto nikamwambia Komea hapohapo hao tulionao wanatutoa jasho je kipato kimeongezeka. Jibu lake mi nataka mtoto tu.Kubalini basi tuzae mmoja tu, nyie si ndo mnapendaga timu ya football?
Inapoteza uhalisia na laana ya ki asili ya kuwa mwanamke.atazaa kwa uchunguNi dawa ya ganzi inayoondoa uchungu wote wa kujifungua. Inawekwa mgongoni kwa IV (dripu) wakati wote wa leba.
hahaaaaKwa sababu ni boy acha nikusamehe
Tukiacha kuzaa wewe yamkini usingezaliwa
umeona balaa LA dunia eehh !!?Tena ni bora nisingezaliwa kabisa, dunia imejaa dhiki na stress za hovyo tu, kila leo namkufuru Mungu.
Bado unataka kuzaa tena,umeyamiss maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuambia shogaa siku mbili nikiona mwakaa
Ila mtoto akitoka tu maumivu yanaisha,,nesi akawa ananiona nahangaika mara natandika pale maana mvua ilikuwa inanyaesha nasikia baridi huku natokwa jasho hapo hapo
Kuna muda nilitamani wamvute wamtoe ili nipone[emoji22][emoji22]
Nilizabwa makofi ya mapaja nikawaambia pigeni tu sisikiii maumivu,,niliwasumbua
Kuja kunyonyesha napo chuchu zinatoka vidonda mtoto akinyonya yaan zinachubuka ,,ulikuwa ukifika muda wa kunyonyesha nalia kwanza maana namdolishia mtoto nyonyo mpaka anazila kunyonya
Hiki kipindi sitaki kabisa,ntazaa wa pili lakin baadae
Ndo maisha mkuu. Kaniachia zawadi ya mtoto na nampenda balaa.Halafu yule mkurya akakudharau hata hela ya nepi na clinic haleti wala hakujali wewe na mtoto
Hakuna mwanamke aliyejifungua mtoto wa kwanza ki asili kwa uchungu halafu mwingine akajifungulia kwa epidural halafu akataka tena kujifungua kwa uchungu...Inapoteza uhalisia na laana ya ki asili ya kuwa mwanamke.atazaa kwa uchungu
HAHAAAAA HAAA AFE WAKO TU AISEEE ...Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama