Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Sisi wengi wanaosomea nursing ni waliofeli,,sio kupenda,,,,ndo mana . private wanalazimika kuwa wastaarabu kwa sababu ya kulinda kazi
Kufeli ni sehemu ya maisha like if you have never failed you will learn nothing in the word,hiyo Wala siyo hoja.
 
Hivi kuna midume nayo imekuja kukomenti humu.?!
Jamani huu uzi wa kike wanaume wa Dar acheni mambo ya kike twendeni kule jukwaa la siasa.!
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
😀😀😀😀
 
Tunajua maumivu hayo ni makali sana, na hongeren wamama .
hio ndio heshima yenu.
Maumivu ni makali ndio mana hata wakitaka kuongeza njia ya k wanachana tu bila ganzi na unaona poa tu.
 
Hakuna maumivu kama kuminywa pu..mbu au ngozi ya mbupu ibanwe na flaiz... maumivu yake, labor kitu gani bhana
 
Naona mnasimuliana mambo ya maeneo yangu ya kazi...........
 
Kutishana sio vizuri ujue!!!

Shikamoo mama.
 

Muache kufanya mapenzi
 
Pole sana mama.
Mie na uoga wangu sijui tu itakuwaje🙆🙆🙆
 
Pole sana mama.
Mie na uoga wangu sijui tu itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134]
Siku zote najuaga wewe ni kidume, duuhh ngoja nije kutuma maombi tu ya papachu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wewe ulipata tabu sana maana ulizoeshwa ile michezo ya AMBARUTI na mumeo mpenz.Pole sana Maadam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…