Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Ah
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
Ah ah ah mbavu zangu
 
Hivi tatizo ni nini nadhani mazoezi wanawake wa zaman walikuwa strong
 
Nadhani wadada wanakosa mafunzo toka kwa wazee nina uhakika mabibi ndio waliokua msaada mkubwa kwenye elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana wanaopevuka lakini siku hizi wasichana wanawadharau mabibi wapo busy na social media. Uwa nikipata mda naenda kukaa na bibi tunapiga story uwa naenjoy sana japokua siku hizi afya yake inamsumbua lakini bado anakupa story murua tena kwa kilugha full burudani na kumuuliza maswali
 
Tatzi ni uvivu na watu kupenda kula mavyakula yenye proteins nyingi.
Uvivuu na watu kupenda kula mavyakula yenye proteins nyingi vinachangia sana kwenye maumivu na matatizo madogo madogo wakati wa kujifungua.

Namfahamu house gal mmoja likuwa na mimba, alikuwa anapiga kazi kama vile hana ujauzito. Usiku wa siku ya kujifungua, nilimpeleka hospital. Njiani alikuwa anapiga story kam kawaida.
Asubuhi nikaambiwa amejifungua salama bila ya matatizo.
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
hahaaaa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Jamani umejua kunichekesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swali linalonisumbua ni kama papuch yako ipo salama kwa kugegedwa tena.
Samani sana
 
Waliku PV (vidole viwili juu)
 
Uliwekewa dino
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…