Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
Pole sana darling kwa machungu uliyopitia, aisee hawa ndugu zetu sijui wana roho za aina gani, hakika umewasemea wanawake millions wanaotaabika huko mahospitalini....

Wenzetu wapo mbele kwa kila kitu, hata kujali na kuliwaza wametupita.
Sijawahi kuona mama anauchungu halafu anapewa maneno ya karaha na kupigwa juu.
 
Kwa kweli hizi storia sikia kwa wengine,pole kwa hiyo expetience
 
Hakuna,, havihusiani.kuna Dada niliyekua naye,,alikua na tumbo limekaa km Chungu afu liko juu halijashuka na siku zimefika,,waliitana wanacheka njooni muone tumbo gani hili,,,tumbo kibuyu,,aisee nilijionea maajabu ya dunia,,,
Kama ni kweli hao hawakuwa manesi ni vimeo
 
Sisi wengi wanaosomea nursing ni waliofeli,,sio kupenda,,,,ndo mana . private wanalazimika kuwa wastaarabu kwa sababu ya kulinda kazi
 
Badae nilikuja kuanza kuhisi labda ni mawakala wa mashetani, ,sio kawaida,, ingawa Morogoro Hosp hayo mambo ni kawaida sana
Kwa waliojifungulia private wataona kama haya hayapo,ila kama wamo humu wajirekebishe,ukomtenda vibaua mjamzito wakati wa uchungu na bahati mbaya mwanaye akafariki hata utumie lugha gani hatakuelewa,somethong need to be done
 
Iliwahi tokea mke wangu kapigwa picha kaambiwa ana mapacha but mwisho wa siku akapewa mtoto mmoja mfu tena kwa ukatili wa hali ya juu.Hadi leo nikiangaliaga ile kadi na mimba ilivyokuwa kubwa na kumtesa hadi namuogesha nakumbuka mengi.Manesi wengine siyo kabisa.Duuuh.
 
Pole Sana, mimi pia ni mchanga wa hospitali zetu za serikali. Ila hakikisha kama mkeo ni mjamzito uwe unamweka kwenye maombi Sana. Pia kumbuka kuombea hao watakaomuhudumia mkeo. Ni jambo dogo lakini limetusaidia Sana. Mungu anasikia na atajibu. Usiku mwema.
 
Duh! Pole sana lakulini mateso haya yatapungua endapo tutayaweka wazi nao wataogipa
 
Pole sana mkuu
 
Dah pole sana mamii....stori yako imenihuzunisha..Mungu atusimamie wanawake wote tunapitia makubwa[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Duh! Pole sana mpendwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…